Hiyo inaonyesha upinzani ni mapoyoyo tu hata form wnashindwa kuwa makini kujaza wakati uchaguzi wa selikari za mitaa umeisha juzi tu?Kunaweza kuleta mtafaruko ni bora NEC ifumbe macho kabisa.Waruhusu wagombea wote,kura ndio kipimo sahihi bara na visiwani.
Ni vizuri maneno hayo hayo mazuri waambie pia wanao pangua wapinzania kwa makosa ya kutengeneza! Kwanini waatarishe amani kwa kutafuta ushindi? Bado kimbembe cha kutokutangaza watakao shinda!Mkuu Mnapokuwa nyuma ya keyboard akili zenu huwa mnamkabidhi nani?
Unaposema wakianzishe ni kwa faida ya nani? Je unakuwa umewaza juu ya watoto wetu,akina mama na wazee wasiokuwa na pakukimbilia?
Ogopa sana kugombea mabaya.kuwa makini,hubiri amani na upendo
sasa tumsubiri maali seif atakuja na lipi ?
hali ya zanzibar huenda ikabadilika wakati wowote kuanzia sasa.
stay tune
Hiyo inaonyesha upinzani ni mapoyoyo tu hata form wnashindwa kuwa makini kujaza wakati uchaguzi wa selikari za mitaa umeisha juzi tu?
Mbona kosa la kujaza fomu ni dogo sana kuliko mahitajio ya demokrasia na kulinda amani.Kama kweli walikosea kujaza fomu tume ingeliwaita na kuwafundisha namna ya kujaza fomu mpaka wakafanikiwa,Hao wa ccm waliopatia walijuwa vipi kujaza au walipewa semina kabla.naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:...
Vita inalazimishwa kwa udi na uvumba
Hapo patamu no 4Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:-
Tamko lipi?Kabisa, tme ni sasa, tusubilie tamko la Viongozi wakuu wa Chama
Hii ni suala la ZEC sio NEC tena. Lakini ikiwa wameshindwa kujaza fomu hawafai kuongoza maana kigezo kimojawapo ni ujazaji fomu.Kunaweza kuleta mtafaruko ni bora NEC ifumbe macho kabisa.Waruhusu wagombea wote,kura ndio kipimo sahihi bara na visiwani.
Yani kabisa unaona Lisu kawakaanga ccm huku bara?CCM wanatafuta njia ya kuufuta uchaguzi, solution ni kuwa provoke ACT hapa zanzibar waanzishe maandamano , kwani hali ya Tanganyika ni mbaya sana kwao.
Lissu amewakaranga vibaya sana , karibu na kuungua , hawaliki tena.
Mmmh ndege mbili za kijeshi zikipita angani wote mnatawanyika kimya kimya kama panyaMaalim Seif na Zito tunaomba mtangaze maandamano tupo tayari vijana narudia tupo tayari. Hawa hawatuwezi tutakufa mia lakini na wao tutawapata japo 80 halafu kitaeleweka tu. TUTANGAZIENI MAANDANO YAWE YA AMANI AU YA FUJO TUPO TAYARI.
Hatawanyiki mtu mkuu kwani Mahita si alikuja pia na helicopter yake. Hutujui sisi wa Zanzibar bora nyamaza tu mkuu.Mmmh ndege mbili za kijeshi zikipita angani wote mnatawanyika kimya kimya kama panya
Tangaza wewe!Huyo 1 ni kafara. Tena kwenye majimbo yale ambayo huwa wanashindwa. Yale ya Pemba.
Wapinzani wakianzishe. Liwalo na liwe... After all, baada ya 28 Okt 2020, NEC na ZEC zitawatangaza CCM washindi, washinde, wasishinde!
Labda maandamano ya JF na Tweeter!Maalim Seif na Zito tunaomba mtangaze maandamano tupo tayari vijana narudia tupo tayari. Hawa hawatuwezi tutakufa mia lakini na wao tutawapata japo 80 halafu kitaeleweka tu. TUTANGAZIENI MAANDANO YAWE YA AMANI AU YA FUJO TUPO TAYARI.
Walikufa na wengine walikimbilia shimoni Kenya safari hii hakuna atakayeweza kukimbilia shimoni watashughulikiwa hapa hapa tu!!Hatawanyiki mtu mkuu kwani Mahita si alikuja pia na helicopter yake. Hutujui sisi wa Zanzibar bora nyamaza tu mkuu.
Yani kabisa unaona Lisu kawakaanga ccm huku bara?
Jamani msiwe mnafuatalia kampeni kupitia account ya twitter ya kigogo
ila wewe uwe mstar wa mbele.si unaitwa umsolapagaz wa mashimo ya mfalme suleiman.yule bwana alikua shujaa kwelikwel.usiwe keyboard warrior. TOKA KWANZA WEWE KAMA UNAONA KUANZISHA NI RAHISI.AMANI YETU KWANZA.Huyo 1 ni kafara. Tena kwenye majimbo yale ambayo huwa wanashindwa. Yale ya Pemba.
Wapinzani wakianzishe. Liwalo na liwe... After all, baada ya 28 Okt 2020, NEC na ZEC zitawatangaza CCM washindi, washinde, wasishinde!