Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Nadhani hamjui tatuzo hili. Kama mtakumbuka hivi karibuni wakati wa bunge la katiba, SMZ imeamriwa kuanza kulipa umeme wake. Hiyo ni baada ya kubainika kuwa bilioni 20 za TANESCO zimetafunwa. Aliyetoa amri ni JK kwa taarifa yenu. Chanzo kilikuwa ni gharama za tume ya Warioba ambapo wznz walikataa kwa kusema ni jambo la muungano. Hata BMLK wznz wanalipwa na SMZ na ni kuanzia hapo ikaagizwa waanze kulipa deni lao. Si zaidi ya miezi 3. Deni la nyuma lipo na ni zaidi ya 1/8 ya mapato ya znz.
Hiyo haina maana kuwa znz imeshalipa deni lake la umeme. Maswi kasema ni lazamani .
TANESCO wanaidai znz zaidi ya bilioni 67 za malimbikizo kwasababu haikuwa kulipa huko nyuma.
Kumbuka Maswi wa Escrow si TANESCO,ndipo mgangano ulipo.
Tanesco wanadai pesa zao zaidi ya biloni 67 kwasababu tangu umevushwa znz hawajalipa.
Watawezaje kulipa umeme ukiwa hawawezi kulipa mishahara?
Hizo milioni 500 ni kauli za kisiasa za kuondoa wingu tu lakini ukweli unabaki kuwa hawalipi na hawajawahi kulipa
Waziri wa fedha Omar mzee aseme walianza lini.
Mnadakia habari msizo na ufahamu nazo.
Kwanini iwe flat rate ikiwa matumizi yanabadilika. Hilo hata hamfikirii. Kwanini znz ilipe flata rate kama inalipa kweli.
Hakuna sababu za kulumbana, ombeni mamlaka kamili mlete umeme wa melini kama zamani. Si mnajua znz ndio nchi ya kwanza kuwa na umeme na TV ya rangi. teh teh teh teh
Nguruvi3,
Kila wakti napenda kukwambia wewe ni BINGWA WA KUNUNG"UNIka bila kuwa na FACTS.
Alichosema Maswi ndio ukweli wenyewe kwani katika mahesabu ya TANESCO ambayo kila mwaka yanawekwa hadhwarani na katika bajeti za wizara na hata ripoti za kamati ya Bunge ya nishati na madini, POC na hata CAG mbona unachosema hakionekani.
Lakin vile vile kunung'unika kwako kunakutoa ufahamu kiasi cha kushindwa kujua Znz wanalipa huo ndio wastani wao. Inaweza kuwa na variation kidogo lakin katika hisabu tunaweka everage. Nazidi kukupa Pole mkulu
Lakin vipi mpango wako wa Tanganyika kabla umefikia wapi? mbona unawaomba Znz wapewe mamlaka kamili wakti wewe hata hiyo Tanganyika hujaipata.au ndio Znz kwanza, tanganyika baadayn?
Kumbuka Znz ni nchi kamili na tartiiiiibu itafikia huko Insha'Allah.
Pole sana