Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
? unaongelea nini?
Tunachozungumzia hapa ni malipo ya umeme, wewe unaongelea bajeti, wapi na wapi Mchumi!
Tunasema hivi, deni la umeme ni sawa na 12% ya uchumi wa znz, wewe unaongelea bajeti ya Tanganyika.
Ndugu yangu, fanyabasi arguement zinazolingana na mada au kufafanana na usomi wako! Wewe ni role model kule znz, kwa namna hii inasikitisha mkuu.
Nilichotaka kukubainishia hapa kuwa TGK haijitoshelezi hata kwa pesa za kulipana mishahara kitu ambacho ni basic kabisa katika uchumi NAKAULIZA JE WATAWEZAJE WASAIDIA AU WAKOPESHA ZNZ?
Hebu pitia bajetoi ya Znz ya mwaka 2014/2015 ambayo ni 700 Bil, je wanaweza kukopa hata pesa za kulipana mishahara?
Au nikuwekee data hapa kama nilivyoisasambua ya TGK.
Pole sana Nguruvi3, Kumbuka uchumi ni DATA na sio bla bla na porojo ndanimwe.