Zelensky aapa Ukraine kuishinda Urusi

NATO Na USA wamemnangania PUTIN kwenye Pumbu kwa hiyo PUTIN anaogopa kupiga kwenye Pumbu lake anajua maumivu ya kugonga Pumbu lake .
 
Mwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Imara kwa kuomba misaada
 
Cha kuazima hakisitiri matakwa
 
Jamaa mwehu sana, anaapa kushinda vita kwa silaha za kuombaomba. Hao wanaompa mda si mrefu watamkimbia atabaki marekani pekeyake

 
Kwani hukuwai kusikia kuna meri ya iran imekamatwa ikiwa na shehena ya silaha ikipekeka Yemen na hao NATO wakaamua kuzipeleka Ukraine??
 
Kwani hukuwai kusikia kuna meri ya iran imekamatwa ikiwa na shehena ya silaha ikipekeka Yemen na hao NATO wakaamua kuzipeleka Ukraine??

Ulimwengu huu umejaa unafiki. Pesa imeekwa mbele . Hawa West wana viwanda vyao huko Iran hasa wafaransa na Waswedish
 
Zelensky ni muigizaji tu hana chochote anachokifanya zaidi ya hicho!

Mwanzoni alijificha kabisa kwenye mahandaki na za kusadikika nyengine alikimbilia mafichoni Poland. Sababu kuu alihofu na kuogopa kuwa Russia itamuua. Ikulu ya Ukraine alijazwa mpaka ndani viroba vya mchanga!

Baada ya Waziri Mkuu wa Israel kuwa kama kiunganishi kuzungumza na Urusi na Putin kumhakikishia Waziri Mkuu wa Israel kuwa Russia haina haja ya kumuua Zelensky; huyu rais wa Ukraine baada ya kuthibitishiwa hilo na Waziri Mkuu wa Israel akatoka mafichoni na kuanza kuropoka ropoka hovyo!

Na waziri Mkuu wa Israel alimshangaa punde tu baada ya kumhakikishia taarifa aliyompatia anamuona Zelensky yupo mbele ya vyombo vya habari na kudai hatokimbia, haiogopi Russia na atafia kwenye ardhi yake.

Maigizo mengine mara US imetoa ndege ya kumsafirisha ili akimbie nchi yake asijekuuliwa akagoma na kudai kuionyesha dunia yupo tayari kufa!

Hakuna chochote anachokifanya Bw. Zelensky zaidi ya uigizaji.
 
Duh! Us uwa Wana kauli tata sana[emoji16][emoji28]

[emoji298]️The war will end in some kind of negotiation, and the starting point will be the withdrawal of Russian troops from Ukraine, US Defense Secretary Lloyd Austin said.[emoji298]
 
Kuhusu dikteta je unaamini nini
Hakuna dhambi njema!

Amerika ina dictate mataifa takribani yote duniani yafanye na yafuate anayoyataka yeye!

Huyu ndiye dikteta tunayemtambua.
 
Yawezekana Putin aliaminishwa na watu wake kuwa tuvamie, mapinduzi yatatokea, wanajeshi watamtoa Zele.... Leo nimesoma sehemu wanasema viongozi wengi waliachiwa baada ya Mwezi 1
Moyo wa mwanajeshi unaweza ukawa ni cold na akili ikawa ni hot.

Kwenye ulimwengu wa ujasusi akili inatakiwa iwe cold na moyo uwe cold. Ukichanganya mambo umekwenda na maji.

Kuna mambo mengine yanahitaji wabobezi husika na mambo mengine yanahitaji mawazo ya wote. Mimi na wewe tusijipe umuhimu kwenye mambo yanayohitaji wenye ubobezi wao husika. Ulichoandika hapo ni mawazo tu ambayo bado mwisho wa siku yanazalisha maswali mengi kuliko majibu.

Haya masuala ukiyapa taswira yako usitarajie utayaona kwa taswira nyengine. Huwezi ukamuwaza Angel halafu ikakujia taswira ya Anitha.

Pengine una ugeni wa historia na haya mambo kwako unayaona kwa picha yako! Historia inaonyesha kuwa atakapovamia US kama Russia ana maslahi napo atatia timu. Na atakapovamia Russia kama US napo ana maslahi napo atatia timu. Mwenye nguvu zaidi ndiye atakayempisha mwenzake.

Na wanafahamu migogoro yao huwa inatumia muda mrefu.

Kingine ufahamu Russia inakubalika mashariki mwa Ukraine ndiyo ambao hao walikuwa wanapambana na serikali ya Ukraine. Sasa kivipi wajipe umuhimu kwa sehemu nyengine ya Ukraine kuwa kwa pamoja watapindua serikali yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…