Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
PUTIN ni mthenge kabisa . Aacha mwigizaji ampumulie hapo kisogonidaa!!! ndo nyie westans mnamini mwanaume anaweza kugeuka kuwa mwanamke....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PUTIN ni mthenge kabisa . Aacha mwigizaji ampumulie hapo kisogonidaa!!! ndo nyie westans mnamini mwanaume anaweza kugeuka kuwa mwanamke....
Unataka marehemu Osama aje kukutawaladikteta yupi! America anayetaka kutawala dunia nzima.. anaejiita kiranja wa dunia..
How to swallow the pride!.. Sindiyo?Urusi ishaonesha haitaki endelea na mpango wake, ila sasa anatokaje tokaje na keshaharibu?
Russians are very proud, wako tayari kufa kulikoHow to swallow the pride!.. Sindiyo?
Ili uelewe kinachopiganiwa na Russia, inakupasa uwe neutral na akili timamu otherwise utafuata msafara wa mamba kibubusaRussians are very proud, wako tayari kufa kuliko
Imara kwa kuomba misaadaMwanzo Putin alimchukulia kama muigizaji sasa mwaka umetimia, Putin anajuta sana huyu jamaa ni madhubuti sana kuwahi kutokea, Zelensky ndio atakuwa Rais wa taifa la Russia muda utafika tu
Cha kuazima hakisitiri matakwaRais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono Ukraine iko imara.
Rais Zelensky ametumia hotuba yake ya kukumbuka mwaka mmoja wa uvamizi wa Urusi dhidi ya nchi yake kunadi ujasiri na dhamira ya jeshi la Ukraine kutetea mipaka ya nchi hiyo.
"Siku kama hii mwaka mmoja uliopita kutoka mahala hapa hapa majira ya saa moja asubuhi, niliwahutubia kwa maelezo mafupi. Ilikuwa ya sekunde 67 tu. Ilikuwa na mambo mawili muhimu kabisa kwa wakati huo na sasa.
Kwamba Urusi ilianzisha vita dhidi yetu. Na sisi ni madhubuti. Tuko tayari kwa lolote. Tutamshinda kila mtu, kwa sababu sisi ni Ukraine. Hivyo ndivyo ilivyoanza tarehe 24 Februari 2022. Siku refu kabisa maishani mwetu.
Siku ngumu kabisa kwenye historia yetu. Tuliamka mapema na tangu hapo hatujalala tena." Alisema rais huyo.
Akiwa na uso wa huzuni kutokana na mwaka mmoja wa damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi, Zelensky aliwaambia raia wa nchi yake kwamba ushindi wa nchi yao kwenye vita hivi, ni jambo la lazima, licha ya kulemewa vibaya na makombora ya adui.
Kweli kabisa na ndio maana anatumia mchina kuleta mpatano.Urusi ishaonesha haitaki endelea na mpango wake, ila sasa anatokaje tokaje na keshaharibu?
Jamaa mwehu sana, anaapa kushinda vita kwa silaha za kuombaomba. Hao wanaompa mda si mrefu watamkimbia atabaki marekani pekeyake
eurasiantimes.com
Hata china sasa hawajifichi tena wanaipa msaada Russia, Iran wapo cremea wanatoa mafunzo kwa wanajeshi wa urusiImara kwa kuomba misaada
Kwani hukuwai kusikia kuna meri ya iran imekamatwa ikiwa na shehena ya silaha ikipekeka Yemen na hao NATO wakaamua kuzipeleka Ukraine??![]()
'Nothing Flashy At 1st Glance', But Ukraine Also Appears To Be Using 'Made In Iran' Weapons Just Like Russia
As the Ukraine war enters its second year, Iran has emerged as one of Russia’s top allies, with significant arms exports to Moscow. Ironically, a new video has surfaced on social media showing Ukrainian troops also using Iran-origin weapons. In a video shared by the Twitter account ‘Ukraine...eurasiantimes.com
Kwani hukuwai kusikia kuna meri ya iran imekamatwa ikiwa na shehena ya silaha ikipekeka Yemen na hao NATO wakaamua kuzipeleka Ukraine??
Police wa duniadikteta yupi! America anayetaka kutawala dunia nzima.. anaejiita kiranja wa dunia..
Hakuna dhambi njema!Kuhusu dikteta je unaamini nini
Moyo wa mwanajeshi unaweza ukawa ni cold na akili ikawa ni hot.Yawezekana Putin aliaminishwa na watu wake kuwa tuvamie, mapinduzi yatatokea, wanajeshi watamtoa Zele.... Leo nimesoma sehemu wanasema viongozi wengi waliachiwa baada ya Mwezi 1