Zelensky ameduwaa: Kikao cha NATO kimeisha na wajumbe wanafuraha na kupongezana, lakini yeye hana anajiona mpweke!!

Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana



Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana



WEWe ndiyo unataka kuchanganya watu! Na habari hii pia utaikataa!!

US and UK call for more gratitude from Kyiv after Zelenskiy’s Nato complaint​

Comments come after Ukrainian leader complained his country had not been given firm timetable for joining alliance.
Ulalamishi wake ndio uliwafanya wajumbe wa NATO wamwadhibu kiaina kwa kum-ignore!! Anatia huruma!!
 
Maji yamezidi unga!! Walisherehekea kwanza ujio wa makomboa ya HIMARS, leo hii hata wao wenyewe hawayasifii tena!! WAkasema muarobaini ni vifaru vya Leopord 2, na magari ya kivita ya marekani, yakaishia kuchomwa moto!! Sasa wamegeukia Ndege za F 16! Ukweli ni kwamba wamejikatia tamaa!
 

Sijajua unataka kusema nini, suala la kujiunga NATO sio la leo, hata Zelensky anajua hilo, sera yao hairuhusu taifa ambalo liko vitani kujiunga, ila hata hivyo amewezeshwa hadi kuilemaza Urusi, leo hii Putin rais wa supapawa na mtume wenu mpya, kakoswa koswa kwenye uasi, ikulu analala kwa shida drones zinampumlia.....
 
Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana



A group of sad and miserable people. Zelensky kajinga sana. Kaliona raha kupata umaarufu wa kwenye vyombo vya habari. Sasa wamekaona hakana tena msaada, kanatukana hovyo. Watakaua haka kashenzi.
 
Kwahiyo lengo lake lilikuwa kuilemaza Urusi?
 
A group of sad and miserable people. Zelensky kajinga sana. Kaliona raha kupata umaarufu wa kwenye vyombo vya habari. Sasa wamekaona hakana tena msaada, kanatukana hovyo. Watakaua haka kashenzi.

Kamepata umaarufu mkubwa duniani na kameiletea Ukraine heshima kubwa sana kwamba ilisimama na kukatalia mbali kukoloniwa au kumezwa na lisupapawa, yaani nimeipenda sana Ukraine hadi naumwa.
 
Kwahiyo lengo lake lilikuwa kuilemaza Urusi?

Urusi na mataifa mengine makubwa jinga yametia akili, sio rukhsa tena kuvamia viinchi vidogo na kuviteka, hii imesababisha China imefikiria mara mbili, imeshindwa kufanya chochote kwa Taiwan.
 
Mjinga sana huyo boya kaamua kuwatoa waUkraine kafara kibwege sana
 
Aisee, kwa hiyo wakaamua kumchunia kabisa? Watu wabaya sana. Na kuna watu wamefurahia kabisa taarifa yako!
 
Unadhani angekuwa anapambana mwenyewe bila msaada wa hao viherehere angetoboa mpaka leo..!
Siyo mwanaume kihiivyo ulivyomsifia..
 
Wewe huna akili, huyu jamaa acheke nini ndivyo alivyo tokea vita imeanza watu wake wameuliwa vya kutosha na wengine kinyama sana., kama walivyouliwa zaidi upande upande pili

Taratibu za kujiunga NATO ziko wazi, Zelensky alishauriwa kabala ya Vita kujiunga NATO lakini alisita sita, sasa katikati ya vita sheria za NATO hazikubaliani nchi iliyo kwenye vita kupewa uwanachama kwa sababu italazimisha mataifa yote yale 32 yaingie kwenye vita kumlinda yeye na sasa itapelekea Third World War ambayo wazungu wanaangalia uwezekano wa kuviepuka hivyo vita vitaleta madhara makubwa zaidi ulimwenguni labda iwe hakuna budi.

US na washirika wake bado hawajakataa kumpa support Ukraine mpaka mipaka yake yote iwe huru, Jana Biden alihojiwa akiwa Helsink Finland na alisema hivyo hivyo, pia akasema Putin tayari ameshapoteza kwenye hivyo vita ya Ukraine akimaanisha Urusi imeshashindwa vita ya Ukraine.
 
Rudi milembe , hv mnatumia matakle kumlaumu mtu mgogoro kaukuta ,halaf alieanza na mgogoro mnamshangilia
 
Together we are.watakuja tu waingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…