mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana
![]()
![]()
WEWe ndiyo unataka kuchanganya watu! Na habari hii pia utaikataa!!Sijui uhalsia wa hiyo picha maana vazi alilokua nalo hiyo siku halina mfuko wa shati, unajua maustadh hamukawii kufanya editing za mapropaganda, angalia tofauti ya fizi fulana
![]()
![]()
US and UK call for more gratitude from Kyiv after Zelenskiy’s Nato complaint
Comments come after Ukrainian leader complained his country had not been given firm timetable for joining alliance.Ulalamishi wake ndio uliwafanya wajumbe wa NATO wamwadhibu kiaina kwa kum-ignore!! Anatia huruma!!