Zelensky amemjibu Trump kwamba alipokea dola bilioni 100 tu za msaada wa Marekani kama ruzuku, sio mkopo

Kama ulikuwa hujui putin kabla hata ya vita ameshajaribu mara nyingi sana kumuua zelensky na kashindwa mambo sio marahisi kama kukaa nyuma ya keyboard na kuan
Jamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!
 
Macron: “We seek peace, not Ukraine’s surrender.

The EU has provided €138 billion in aid.

Many allies are ready to support Ukraine with troops and equipment.

If Russia breaks the peace deal, it will face all nations involved—an entirely different scenario.”
 
Jamaaa Putin ni sawa na Umeme HATARI yule jamaa akitaka ufe masaa24 tu unaaga Dunia!!!!
Trump anamugopa sana Putin hata kuongea naye anatafuta maneno mepesi.

JUST IN: Trump refuses to call Putin a "dictator" despite provocation from reporters:

"You called Zelensky a dictator. Would you use the same word regarding Putin?"

"Uhhh I don't use those words lightly... let's see what happens."
 
Putin:

Russia is ready to supply 2 million tons of aluminum to the U.S. to stabilize prices.

Xi says the Ukraine “peace group” will meet in New York soon.

Russian and U.S. companies are discussing joint projects.
 
#BREAKING Ukraine secures major support from visiting world leaders:

🇫🇮 Finland: €4.5 million for infrastructure and EU integration.

🇦🇺 Australia: Largest sanctions package—70 individuals, 79 entities.

🇳🇿 New Zealand: New sanctions against Russia.

🇪🇸 Spain: €1 billion in military aid.

🇩🇰 Denmark: €270 million in aid.

🇸🇪 Sweden: $113 million in air defense systems.

🇬🇧 United Kingdom: $5.6 billion in military aid.

The UK is prepared to deploy troops to Ukraine alongside other nations.
 
Trump anatafuta sababu akate msaada kwa Ukraine ili wamddhoofishe zaidi.
Hii yote Ili Ukraine akubali terms walizoelewana trump na Putin.
Zelensky ameshajua trump sio mwenzake tena sasa ameelekeza macho yake yote EU na jana EU wamempa zelenky aid ya Euro 3.5billion, Trump hana mpango wowote yeye hana msimamo mara anaongea hivi mara vile
 
Leta takwimu acha porojo ww unadhani watu 850,000 ni nyanya sio?
Ww unafuata takimu zinazo tolewa na Ukraine kwa ajili ya propaganda na kuziamini kweli ww hauko sawa kichwani.
Ni mwaka jana tu CIA ilitoa takwimu kuwa wanajeshi wa Urusi 200,000 wamekufa au wamejeruhiwa ww mwaka huu unatuambia 850,000 kwa hiyo mwaka huu urusi ilikuwa inapoteza wanajeshi 30000 kila siku?
Vita imewashinda mmeanza propaganda za kijinga.
 
Usichanganye vita ya Ukraine na hizo za kale. Elewa kwanza madhumuni na malengo ya kila vita. Marekani hawakwenda Vietnam kuteka nchi. Walitaka kuzuia utawala wa Vietcong (wakomunisti) - wakashindwa. Soviet walienda Afghanistan kutaka kumrejesha madarakani mtawala wa kikomunisti - wakashindwa.

Israeli wanataka ardhi yote na kuwaangamiza au kuwafurusha Wapalestina ili Wayahudi wawe peke yao ndio wenye nchi (a Jewish nation). Wanajiongezea hadi Syria na Lebanon. Serikali ya sasa ya Marekani inawasaidia katika hilo lengo lao la kijinga.

Ukraine wasingekuwa tayari kupigana na kusubiri majeshi ya nje yake kuwapigania, wangefagiliwa mbali kama utawala wa Afghanistan ulivyofurushwa na Wataliban pamoja na msaada mkubwa waliopewa na Marekani miaka 20.

Hakuna ambaye angepeleka msaada wa silaha Ukraine kama wasingeamua kupigana kwa ujasiri mkubwa walioonyesha kupigania nchi yao dhidi ya uvamizi. Zelenskyy alipotahadharishwa na kupewa ofa ya kuhamishwa na familia yake aliikataa “lifti” na kuomba silaha wapigane. Amethibitisha uwezo wao miaka mitatu sasa.

Wenye mihemko ni nyinyi wenye kushabikia nchi na watu bila kuelewa mikanganyiko ya kiitikadi (ideological dynamics) na maslahi ya makundi yaliyomo ndani yake. Ndio nyinyi mmekuwa mkidhani ni mapambano kati ya Marekani/NATO upande mmoja na Urusi/China upande mwingine. Bila kuelewa nini hasa kinachotafutwa.

Baadhi yenu saa hizi mmeduwaa sana kuona Marekani sasa wako upande wa Urusi dhidi ya Ukraine na EU/NATO. Yaani Trump na Putin wamekuwa maswahiba wakubwa. Hamuelewi imekuwaje!

Hapa inahitajika uelewa mkubwa wa mienendo ya kiitikadi (ideological shifts) na maslahi ya makundi duniani yakoje ili kuelewa misingi ya hizi vita ni ipi hasa? Someni, mjielimishe. Ushabiki hausaidii kitu.
 
trump ni kigeu geu tu. Aliwahi kudhihaki Ukraine kupewa silaha za zamani, lakini leo anabadili
Sijaona unachosimamia nini kama siyo kusimaisha mishipa ya shingo ili kukidhi haja ya kutaka kuonekana unajua kubisha bila kuwa na unalosimamia. Huwezi kupata jibu lolote la maana bila kuwa na hoja inayoeleweka
 
Zelenskyy anaweza kuja kuwa shujaa kwa
taifa la Ukraine kwa viazi vijavyo kama ataendelea na misimamo yake dhidi ya mataifa makubwa.

Anajua hawezi kushindana na marekani au Russia kwa kitu chochote lakini maji ya bendera aliyokunywa na uzalendo kwa taifa lake yatamfanya kuwa na legacy kubwa kwa vizazi vingi vijavyo vya taifa hilo.

Pengine leo hii Ukraine ingekuwa vipande vipande na yeye kwenda kula maisha na familia yake kwa hao wakubwa kama viongozi wengi wanavyofanya. Lakini yeye amegoma kuvaa suti na kuamua kupigania taifa lake hadi tone la mwisho japo anajua wakubwa hao watampora nchi yake au rasilimali zake.

Lakini so far hana deni kwa nchi yake just a Hero!
 
Kuna mlio bado hajatoa Zelensky kwa spana anazopigwa na Trump.
Ila sioni kama atakuwa madarakani in next three months.
Considering amekuwa madarakani muda wote huo wa crisis, trump hawez mchomoa wala hatomtisha
 
Mtanzania ambae hauko vitani ndio Nchi inategemea misaada mingi kuliko Nchi nyingi Afrika unamcheka alie kwenye mapambano kuwa anazoea dezo..
Aya tuambie ni lini Tanzania imepewa usd bilion 500.?kwa kifupi hakuna cha bure iwe ni Tanzania wanakopa au Ukraine alipe alivopewa tena avitapike.
 
Marekani iko njiani kupata faida kubwa kutokana na upumbavu wa waliberali huko Uropa.

Biden alilazimisha Ulaya kuachana na madini asilia kutoka Urusi, na aliwasaidia kidogo kwa kulipua bomba la Nord Stream.

Pia alilazimisha makampuni ya Ulaya kuachana na Urusi.

Sasa Trump anaondoa vikwazo, akitangaza kuingia tena kwa makampuni ya Marekani nchini Urusi, na ununuzi wa madini ya Kirusi.

Kwa kuongeza, Trump sasa pia atapata madini ya Ukraine, na Ulaya itapata kidole cha kati.

EU pia inatangaza kifurushi cha usalama cha dola bilioni 700 hivi karibuni, ambazo nyingi zitaishia kwenye mifuko ya kampuni za kijeshi za Amerika, kwa hivyo huu ni mpango mwingine mzuri wa biashara kwa Trump.

Nyingi za silaha hizi zitaishia Ukraine.

Na kinachovutia zaidi, baada ya Marekani kuondoa vikwazo kwa Urusi, Ulaya haitafanya hivyo, na Marekani itaanza kuuza madini ya asili ya Kirusi kwa Wazungu kwa faida ya ziada.
 
Aya tuambie ni lini Tanzania imepewa usd bilion 500.?kwa kifupi hakuna cha bure iwe ni Tanzania wanakopa au Ukraine alipe alivopewa tena avitapike.
Tanzania hawadaiwi mkuu ni Nchi isiyotegemea misaada kutoka Nchi za Nje hata lile deni la Taifa wanalosema ni himilivu ni la Haiti sio Tanzania kwa sababu haijawahi kukopa.
 
🚨BREAKING: UKRAINE AGREES TO U.S. MINERALS DEAL AFTER TRUMP ADMINISTRATION DROPS $500B DEMAND

Kyiv has finalized a minerals deal with Washington, securing joint development of Ukraine’s oil, gas, and mineral resources—but only after the Trump administration dropped its toughest demands, including a $500 billion revenue claim.

The deal establishes a fund where Ukraine will contribute 50% of proceeds from future mineral monetization, but it does not include the security guarantees Kyiv originally sought.

With Zelenskyy expected to visit the White House for a signing ceremony, this deal marks a major shift in U.S.-Ukraine relations under Trump.

Source: Financial Times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…