Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

Hatuwezi kufanyia kazi habari DW mara zote huandika habari tofauti sana hawa hawa DW ndio walisema bakhmut imeanguka mwezi uliopita sasa leo wanakuja na kauli nyengine sasa swali ni Bakhmut inaanguka mara ngapi?? Kamanda wa Ukraine anasema battle inaendelea tena kwa huko upande wa magharibi mwa mjia bakhmut
 
Mdogo mdogo somo litaeleweka.
 
itakua bado umelala waulize na al jazeera nao!
 
Ndio maana siku zote usema wakati mwingine ni vigumu kumuelewa MK-254, leo hii Rais Zelensky mwenyewe kakiri kwamba amepoteza Bakhamut - lakini yeye anaganganiza kutuletea habari za jana kutoka. kwa highly questionable General.
 
Usijali mkuu, fanyia kazi habari ya Biden, The Washington Post, ambapo Zelensky ameripotiwa akisema Bakhmut imebaki tu kwenye mioyo ya waUkraine wakiitamani, lakini inamilikiwa na Urusi kwa sasa

 
Ha ha ha haa.
Jinsi unavyoiandika habari hii ni entertainment tosha kabisa.
Unareport kwa mbwembwe na madaha sana..
Ila ushindi mtamu asikuambie mtu.
Mrusi mwacheni achukue tu maeneo hiyo ndiyo gharama ya silaha za Urusi na askari zinavyolipiwa Mrusi anajilipa kabisa magharibi wanamkopesha aje kulipa UKRAIN baada ya vita kuisha sasa cjui hapa mjanja nani hahahahah ila kwa tulisoma Cuba tunaeelewa
 
Basi tunakuletea habari ya BBC uifanyie kazi
===

Bakhmut: Zelensky says city is destroyed as Russia claims victory​

    • Published
      47 minutes ago
Share

Media caption,
"Bakhmut is only in our hearts" - Zelensky
By Samuel Horti
BBC News
 
Ndio maana siku zote usema wakati mwingine ni vigumu kumuelewa MK-254, leo hii Rais Zelensky mwenyewe kakiri kwamba amepoteza Bakhamut - lakini yeye anaganganiza kutuletea habari za jana kutoka. kwa highly questionable General.
Mkuu, MK254 sio kwamba haelewi kuwa Bakhmut imeshatekwa na Urusi, anaelewa vema. Lakini anajaribu kuficha uso wake kwa aibu na fedheha iliyompata maana aliaminishwa kuwa silaha za Marekani (HIMARS, HARM)+ Uingereza (Storm Shadow long range cruise missiles, Challenger 2 tank, M777 howitzer) + Ujerumani (Leopard 2 tank) + France (Caesar self propelled howitzer, LRU multiple-launch rocket systems) + NATO kwa ujumla zingeilinda Bakhmut dhidi ya zile za Urusi, lakini zimefeli.

Akikubali hadharani kuwa Bakhmut imeanguka ni sawa na yeye kukubali hadharani kuwa silaha za Marekani + Uingereza + Ujeumani + France + NATO kwa ujumla ni dhaifu mbele ya zile za Urusi...kitu ambacho yeye MK254 hayupo tayari kukikubali hadharani na kutangaza...anaishia kukikubali moyoni tu tena kwa maumivu makali mno!
 
SUPER - I believe this will obviously serve him right, from now on no one in his/her right mind shall take his Mickey Mouse stories seriously.
 
Mfundishen Putin kusema ukwel , sivamii akavamia , mara sigara imelipua ghala la silaha , yaan hoja za Putin hata vichaa haez zitamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…