Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

Hakuna sehemu Zelesky kakiri Bakmut kuchukuliwa leo amekanusha acheni propaganda na unafiki
Mtalia sanaa..hadi wanazi waondoke Donbas..nina uhakika Zelensky akijitoa Donbas na vita inaishia hapohapo...ila anavyopenda kutumwa na west hatakubali vita iishe
 
Huna lolote pro-nato

Huna lolote pro arabs
 
Za eneo analomiliki Ukrain

Ukraine inamiliki Ukraine...

 
Hapo Ukrain pamethibitisha kuwa ahadi anazotoa US ya kuwalinda the so called "Allies" ni kujinufaisha yeye kwa kuuza silaha...
"Allies" anayomaanisha ni hii
#combine or unite a resource or commodity with (another) for mutual benefit(US)#
 
Hivi hyo ndio TV yako mkuu? Au umepewa na fundi repair uitumie kwa muda...akiwa anarekebisha yakwako....
Whatever., Hivyo ndivyo breaking news zilivyosomeka jana kwenye media zote baada ya uongo wa russia kukwapua bakhmut
 
Wewe ovyo sana unajua maana ya “nothing left., ni kama nyumba yako imeungua moto na kuungiza kila kitu bado utaendelea kubaki na eneo lako., urusi wamepiga mabomu majengo na miundo mbinu kuharibu, haimaanishi kwamba Urusi wamechukua ardhi ya bakhmut, eneo la ardhi bado liko controled na Ukraine, na hata baadhi ya miji ndani ya bakhmut bado Ukraine wana hold., urusi anaangusha majengo akiwa mbali sana anapiga long range hata Kyiv pia, lakini haimaanishi kwamba Kyiv ipo chini ya russia
 


Vipi akina Himars, Leopards na Abrahams-- wameshindwa kazi ?? 🤣
 
Nothing left after Russia win - ficha ujinga wako basi.
 
Nothing left after Russia win - ficha ujinga wako basi.
Hee yaan kaz kweli nyi pro putini., maneno ya Zelensky ni mstari wa juu tuu ambayo yalifungiwa invited comma., mstari wa chini ni maneno ya mwandishi ambaye alijazia maneno after russia win., hilo neno after russia win ni la mwandish ambaye anamripoti Zelensky., kiingereza hujui bas ata kuuliza shwayn
 
sisi hatuangalii hizo, tunawapelekea pumzi ya moto tu!
 
Utajua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…