Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi.
Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa kwenye mji wa Bakhmut.
Bwana Zele akashindwa kuwaongopea mabosi wake, hatimaye kwa masikitiko makubwa na uso uliojaa fedheha iso na kifani akajibu HAPANA, Ukraine kwa sasa haimiliki sehemu yoyote ya Bakhmut, si tu mtaa bali hata kanyumba kamoja.
Cc:
MK254
=======
View attachment 2629692
View attachment 2629693