Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

Hili andiko lako halina c

Hili andiko lako halina credibility kwa zelenkys kwakuw alishindw kufanya maamuz tangu awali na kuelewa falsafa za dunia .
Zelenkys hana Tofaut na mwanamke anataka kuhudumiwa tuu bila kuhudumia so lipakuja swala la exchange of interest anazngua ,

Pesa zote alipopew ilibd apme kuw atawez malz vta kwa ushind na azlpe sio ajifanye hajui
Kajifunze kuandika kwanza then ndio uje kuhoji credibility ya mada, can you tell us who is Zelenkys??

Final thoughts jitahidi kuhoji kitu unachokielewa usije kuonekana kilaza.
 
Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco.

Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance ndio nimeamini pasipo chembe ya shaka kuwa wazungu sio wanafiki na sio machawa wanasimamia kile wanachokiamini bila kujali wewe ni nani na hawapepesi macho kukwambia ukweli kama unajaribu kuupindisha.

Trump anataka madini ya Ukraine pasipo na hakikisho kamili la usalama kwa Ukraine lakini hapo hapo anafanya vikao vya siri na Russia hakuna mzalendo anayeweza kukubali hiki kitu labda kama anataka kuuza nchi yake na tunajua mambo haya huwa yanatokea wapi lakini Zelensky kasema hata kama anapambana na nchi zenye mabavu lakini nchi yake haiuzwi.

Ni bora wafe wakiwa wanapigana not otherwise.
Hiyo kauli ngoja nikaitamke mahali...
 
Trump unayeita Takataka ana akili za kuondoa umaskini kwenye ukoo wako mpaka kizazi cha 50 toka wewe hapo. Kuwa makini na matumizi ya vidole usiandike uharo tu.
Nige kutukana lkn hili jukwaa ni la watu wastaarabu na wenye akili licha na wewe kuwemo but ngoja nikuache uje urudie mara nyingine
 
Inaonekana sasa kawajua nia yao ilikuwa nin wakati wanamuingiza kwenye vita.

Ni muda muafaka kwake kumalizana na Putin kiume, kama ndugu, kama majirani
Hao hao ndio wako na putin, ana malizanaje na kikundi au mtu anaetaka ardhi yake?
 
Back
Top Bottom