Fikiria hivi, USA atake madini hayo ambayo yanatakiwa sana na USA, Ulaya na Korea ya kusini; Donald Trump atangaze mwaliko kwa marais wote wa Africa waende Ikulu ya white house, wapewe tu vikombe vya kahawa, waahidiwe suti mpya na kontena la msada la silaha za kawaida tu, labda bunduki; baada ya hapo rais Trump atangaze kwao kwamba anayataka hayo madini na wao kama nchi watapewa 3% kama royalty, tell me, rais gani wa Africa atakataa kuweka sahihi?
Sijaelewa hapo, JD aliwahi kuunga mkono NAZI? Alikuwepo duniani huyu kweli enzi hizo? Nifafanulie hapo please