Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
- Thread starter
- #41
Trump huwa haangalii keshoTrump Hana regac za uongozi sijui watu wa USA wanafikiria nini ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump huwa haangalii keshoTrump Hana regac za uongozi sijui watu wa USA wanafikiria nini ??
Upo dunia gani??Alichosimamia nini na kilichompeleka pale nn !!!
moja wapo tanzania mm kuna muda nikikaa chin naona binadam hatupo sawa yan ni km sis wa africa tuliumbwa na udongo wa mwisho mwisho ambao hauna rutba unaopelekea tusiwe na akili si unaona mfano hai viongoz wa kiafrica wamejaa tamaa za pesa,madaraka ubinafs yan mambo ya ovyo ovyo san tofaut na viongoz wa mabara mengine hukoZelensky hakika ni raisi anaesimamia maslahi ya taifa lake....Ingekua taifa fulani hapa afrika madini yote na watu wangeuzwa
Trump ana bifu ya muda sana na Zelenskyy mwaka 2020 kwenye uchaguzi Trump alimuomba Zelenskyy kutoa data juu kashifa ya mtoto wa Biden ili kumuharibia kwenye uchaguzi Zelenskyy akakataa, kwenye huu uchaguzi ulio pita Zelenskyy alienda Marekani akampigia kampeni kamara haris,kiufupi Zelenskyy alijikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.Ilionesha wazi JD na mwenzake wana chuki ya wazi wazi kisa tu jamaa kagoma kuwa mnyonge
Naamini hii ndio chuki waliyonayo vinginevyo mambo yangekuwa tofautiTrump ana bifu ya muda sana na Zelenskyy mwaka 2020 kwenye uchaguzi Trump alimuomba Zelenskyy kutoa data juu kashifa ya mtoto wa Biden ili kumuharibia kwenye uchaguzi Zelenskyy akakataa, kwenye huu uchaguzi ulio pita Zelenskyy alienda Marekani akampigia kampeni kamara haris,kiufupi Zelenskyy alijikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
PUTO anataka kuiba madini ya Soviet PUTIN kamgomea !!Trump ni takataka tu
FactZelensky ni mwanaume haswa!
Nimemkubali sana..
Kumbe Trump pamoja na mafanikio yake ni mtu mpuuzi big time!....
Kwa huyu mtu US watatengwa na dunia..
Yasinge kuwa tofauti japo kuwa yasinge kuwa mabaya kama sasa ,Trump ni mfanya biashara na ni bepari huwa haamini kwenye bure hata siku moja.Naamini hii ndio chuki waliyonayo vinginevyo mambo yangekuwa tofauti
Kwanin kipindi chake cha Uraisi kilichopita hakikuwa na haya mamboYasinge kuwa tofauti japo kuwa yasinge kuwa mabaya kama sasa ,Trump ni mfanya biashara na ni bepari huwa haamini kwenye bure hata siku moja.
Yaani ni fatal risk kubwa"To be an enemy of United State of America is dangerous, But To be a friend is Fatal"
Stay neutral
Mmh, kwa kweli kabisaaa !Zelensky hakika ni raisi anaesimamia maslahi ya taifa lake....Ingekua taifa fulani hapa afrika madini yote na watu wangeuzwa
Fikiria hivi, USA atake madini hayo ambayo yanatakiwa sana na USA, Ulaya na Korea ya kusini; Donald Trump atangaze mwaliko kwa marais wote wa Africa waende Ikulu ya white house, wapewe tu vikombe vya kahawa, waahidiwe suti mpya na kontena la msada la silaha za kawaida tu, labda bunduki; baada ya hapo rais Trump atangaze kwao kwamba anayataka hayo madini na wao kama nchi watapewa 3% kama royalty, tell me, rais gani wa Africa atakataa kuweka sahihi?Zelensky angetakiwa pia amkubushe JD Vance kuwa Alisha sapoti misimamo ya hilter wazi wazi na akaja kuomba msamaha Hivyo haoni tabu kwa yeye kum sapoti Putin.
Ila nimependa msimamo wa raisi wa Ukraine waafrika tuige mfano
Yaani kabisa kabisa.Inaonekana sasa kawajua nia yao ilikuwa nin wakati wanamuingiza kwenye vita.
Ni muda muafaka kwake kumalizana na Putin kiume, kama ndugu, kama majirani