Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

Kajifunze kuandika kwanza then ndio uje kuhoji credibility ya mada, can you tell us who is Zelenkys??

Final thoughts jitahidi kuhoji kitu unachokielewa usije kuonekana kilaza.
 
Hiyo kauli ngoja nikaitamke mahali...
 
Trump unayeita Takataka ana akili za kuondoa umaskini kwenye ukoo wako mpaka kizazi cha 50 toka wewe hapo. Kuwa makini na matumizi ya vidole usiandike uharo tu.
Nige kutukana lkn hili jukwaa ni la watu wastaarabu na wenye akili licha na wewe kuwemo but ngoja nikuache uje urudie mara nyingine
 
Inaonekana sasa kawajua nia yao ilikuwa nin wakati wanamuingiza kwenye vita.

Ni muda muafaka kwake kumalizana na Putin kiume, kama ndugu, kama majirani
Hao hao ndio wako na putin, ana malizanaje na kikundi au mtu anaetaka ardhi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…