Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Meli ya kisasa ilijengwa mwaka 2000 nangapi nyie vijana bana haya google hamuijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesahau kutoa shukurani kwa NATO wamesaidia pakubwa Sana hayo kuwezekana
 
Yale ya Vietnam Yana jirudia
 
Kwa hiyo kina Mkwawa, Kinjeketile, Mangi sina...nao walikuwa wajinga??[emoji101]
 
Kipigo kiendelee, huyu dawa bado kumuingia
 

Hurusi
 
Ujinga wake ni kuongoza Vita vya kuwaondoa wavamizi kwenye taifa lake ?....angekaa kimya mngembeza na kumuita dhaifu na mnyonge bora akomae tu.

Wasanii wote naona hawapaswi kuwa viongozi sababu hawana nafsi ya uongozi.
Rais Ronald Reagan alikuwa pia msanii ila ndiye aliyeiangusha na kuisambaratisha USSR iliyokuwa kubwa yenye kutisha kuliko Urusi ya sasa,hii kauli ya kujumuisha 'wote' ni makosa.
 
Una uhakika na hili au unabuni tu ?
 
Mkuu acha jazba Ukraine hawakutaka vita kabla wao walivamiwa walilala asubuhi wakaamkia mabomu kila upande ndio wakaanza kujilinda, hata wewe ukishambuliwa lazima utaumia kwa sababu hukujua adui anaanza wapi., tunawashangaa Russia ambao tumeaminishwa kwenye masikio yetu kwamba Mrusi hataki mchezo sijui ana hichi na hichi leo nikisomewa hasara aliyoipata kwenye hiyo operation ni aibu kubwa kwake, na wengi tumepata kujua na kujifunza kumbe Russia ilijenga heshima ya woga na kimchongo kwamba ni taifa kubwa kivita kumbe hata Ruwanda anaweza kusimama naye kwenye vita.

Marekani baada ya kumjua udhaifu wake sasa kashapewa majibu kama anataka vita na Marekani aanze wao marekani hawataacha kuipa silaha Ukraine kumshughulikia Putin, kabla putini alionya sasa kashapewa jibu kwamba hawatasita kuipa silaha Ukraine lakini na Ujerumani wamejibu pia kwamba ndani ya Ukraine kuna jeshi lao linatoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine yoote hayo kaambiwa putini wa mchongo sasa kama ni mwaname arushe japo jiwe kule Washington maana kila kitu sasa keshaekewa wazi.

Meli yake ya kivita iliripuliwa ni muingereza na anajua kila siku anasogeza vinu vya nuclear lakini ana kitetemeshi kupiga huko ulaya ama Marekani kwanini?
 
Kweli mkuu, amepambana sana,
 
Wewe akili zako haziko sawa kabisa kwa hiyo sisi kama nchi mfano tukivamiwa na Kenya Mama Samia inabidi ajisalimishe na sio kuipigania nchi ili kushinda uvamizi?Wewe ni hasara kwa wazazi wako na Taifa .
Uzuri Ni Kwamba Zelensky ana nyumba yake ufukweni huko Florida na mamilioni ya $$ yanamsubiri kwny a/c Kama Asante kwa kuivuruga ukraine.,nawakubali Sana Wamarekani kwa hilo.
 
We Ni liongo,Google hapo hata kifaru Cha T-14 kinachezea kwny $4m,hizo 23 bil labda za Zimbabwe.
 
Umeongea na kutoa povu sana., Zelensky anasema hatamuachia Mrusi hata Inch 1 kwenye ardhi yake, ndio mana Ukraine inapigana kupambania taifa lao, halafu inaonyesha hujui chochote kwenye hili sakata, Zelensky akisema akubali masharti ya Putini maana yake eneo kubwa tena la kiuchumi akubali liwe sehemu ya Urusi, mfano kule kwenu Tanzania mulikuwa tayari kupeleka majeshi na kupiga na Malawi kwa sababu Malawi walisema lile ziwa Nyasa ni la kwao kwanini sasa mlitaka kuanzisha vita? kwanini?

Ukrean ni Taifa kama ilivyo Tanzania, wana katiba yao, jeshi lao, na kila kitu chao ni nchi yenye mamlaka yake kamili kwanini walazimishwe masharti kutoka nchi nyengine huru ambayo na wao wana maamuzi yao kule na rais wao., enzi za utumwa zimeisha kama wewe bado ni mtumwa hapo ulipo siyo kila mtu na kila nchi

Wacha wapambane mpaka Mrusi atakapomaliza kufurushwa kabisa kabisa na kurudi kwao kama alivyofurushwa Kyiv na kurudi zake Donbas
 
Umeongea kwa hisia bila logic, punguza mihemko kisha leta nondo za kueleweka. Russia alianza kupika propaganda kitambo kuwa ( ukraine is an artificial country ) so iko chini ya kivuli cha Russia, stalini aliwahi kuwasulubu ukraine kwa kuwanyanganya mashamba then wakadead kama million nne na kidogo. Mgogoro huu umeanza tangu 2014 mpaka inatokea leo. Ukraine sio wajinga wamekaa sana kwenye meza ya maridhiano lakini imeshindikana. Kuna watu wanajali hadhi na heshima ya taifa leo. Kama kiongozi wao angekuwa amekosea nguvu ya umma ingemuondoa hata kabla ya Russia kuvamia. Niukweli mchungu Russia amekosa ushawishi ndani ya ukraine ndio maana raia na jeshi hawajaogopa military superiority yake wameamua zichapwe. Kusurrender tunaweza sisi tu ambao mkuu wa mkoa anaweza kutukataza mjini bila kuoga ila wenzetu wana nguvu za kiume kwelikweli ( strong balls ).
 
Unamsifia mtu aliejificha huku wanachi wake wanakufa, na nchi inaangamizwa.
Wananchi wa ukraine wanajua aggressive character kuliko wewe, una feel pity na wananchi wa ukraine wenyewe. Walijua Russia angewavamia siku moja ndio maana walianza kutoa mafunzo kwa raia wake mpaka vibibi kizee. Ukraine ni taifa la wanaume waukweli hawataki dharau kama alichowafanyia Stalin kuwanyanganya mashamba, rais wao pia ni mwanaume sio mzembe kukubali kubaki nchini kwake akiendelea kutoa amri za mapambano. Hii vita Russia asipoangusha huu utawala , jamaa watajijenga sana wakishirikiana na wazee wa faida aka mabeberu.
 
Mwanaume Mchele Mchele kama wewe ndo atakubali kuwekewa masharti na mwanaume mwenzia kwenye mji wake, lakini mwanaume thabiti kama Zelensky, kiduku na hata Putin mwenyewe hawezi kukubali kuwekewa masharti lazima atapambana kama tu anavyopambana Zelensky. Zelensky ni shujaa.
 
Mjinga mmoja toka Chato ndani ndani anamwita Rais wa Ukraine Mjinga, amka usingizini.
 
Drop down to this example, Jirani yako akizusha ugonvi na wewe, akakupa sharti la kuikabidhi familia yako ( mke na watoto), utakubali au utasalimisha familia yako kwake? Utapigana nae au utakimbia? Acha uzembe wa kufikiri mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…