Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Wacha tu nikujibu iko ivi apa duniani hakuna mtu wa kumpangia mtu mwingine ni yupi awe rafiki yake ama ni yupo awe adui yake broo yaani kwamba uamue tu kisa jirani yako ana urafiki na mtu ambae wewe humpendi basi ujiendeee tu kuleta ugomvi na kuharibu mali za mwenzako kisa tu ana urafiki na mtu ambaye wewe humpendi duu izi ni akili za wapi


Dunia ya sasa haiko ivyo mzee amka toka uko dunia ilisha toka uko muda sana mzee hatuwezi kuishi kama wanyama kisa tu wewe una minguvu ama umeshiba maugali yako ndo uende kuvamia vamia tu tu watu kisa wana urafiki na watu ambao wewe huwapendi
 
Hasara ya nchi kuwa vitani ni kubwa sana kuliko maelezo wala hasikwambie mtu.yani ukiona Urusi kapata hasara ya laki 1 basi zidisha mara 100 upate hasara ya Ukraine.

1)Piga hesabu bandari za ukraine kwa kila mwezi zilikuwa zinaingia kiasi gani?
2) piga hesabu viwanja vya ndege vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kila mwezi
3) piga hesabu viwanda vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kwa mwaka?

4)piga hesabu mikoa iliyopo kwenye vita ilikuwa inaingiza kiasi gani kwa mwaka.

5) kikosi cha majini na kikosi cha anga cha Ukraine kimeteketezwa na warusi.piga hesabu gharama ya ivyo vikosi.

6)zaidi ya madaraja 20 ya ukraine yameteketea.ukipiga hesabu ya kujenga daraja moja tu ni zaidi ya bilioni 50.ukipiga mara 20 ni zaidi ta tilioni imeteketea.

7) viwanja vya ndege vyote vimeshambuliwa.zaidi ya viwanja 50 vimepigwa na mabomu.kujenga kiwanja kimoja tu si jambo dogo.

Naimani mtakuwa mmepata picha kamili
 
Tunarudi palepale.
Wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?

Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Unaelewa maana ya huru mzee mbona unarudia rudia maswali ya kitoto mzee hili nini maana ya nchi huru labda tuanzie apa
 
Kwahiyo ni sahihi kwa Ukraine kupambana na uvamizi lakini sio sahihi kwa Russia kumkataa jambazi NATO ambao ni baba yake na USA karibu na mlango wake?
Nananukuu quote yako hii hapa

Hapa unajipinga wewe mwenyewe.
Kwahiyo mkuu unamaanisha wewe utamuacha huyo jambazi wa jirani yako akuvamie wewe na familia yako kisa tu haumpangii mtu rafiki wa kuwa nae?
 
Kwa mwandiko huu wa kuandika Hurusi badala Urusi; una'qualify' kweli kuleta thread kwenye hii forum (international forum)?!! Ambayo inakuhitaji uwe mfuatiliaji na mwelewa wa siasa za kimataifa.
Hamna mtu hapo. Ni yale makapi ya raia
 
Ila hii operation ilikuwa inaepukika kabisa. Ila mzigo wote wa lawama anabebeshwa Ziliesky. Maana aliamua kushupaza shingo.
Nchi ishakatwa vipande. Western ni watu wabaya sana.
Kuhusu hasara. Vita zote zinazopiganwa duniani humu hasara lazima ziwepo. Kwangu hasara naiona kubwa kama kutakuwa na watu wengi wamekufa. Raia na wanajeshi.

Mpaka sasa loser ni Ukraine
 
Ukraine n taifa huru Lina haki ya kuamua Katka mambo ya ushirika bila kuingiliwa wa kuzuiwa na taifa lolote
 
Mkuu ungekuwa ww ndo umevamiwa kwenye familia yako ungeepukaje hiyo Vita au unamuachia family yako mvamizi na ungemfungisha ndoa mkeo kwa mvamizi afu ukakimbia kwa jirani badala ya kupambana kuilinda mipaka ya nchi yako??
 
Mkuu naomba hiyo clip boss
 
Sawasawa kabisa upo sahihi.
Ila wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?

Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
huyo jambazi huna uhakika kama ameletwa ,hata jirani yako angemleta jambazi huwezi kumvamia ,kwanini wewe usiweke ulinzi wa nyumbani kwako una guess tu jambazi analetwa na kuvamia
 
Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi
 
Kwa hiyo kina Mkwawa, Kinjeketile, Mangi sina...nao walikuwa wajinga??[emoji101]
Unawezaje kumlinganisha Mkwawa na Zele? Mkwawa alipigana kwa manufaa ya watu wake!! Zele anapigana kwa manufaa na Marekani na washirikana wake! Zele ni kibaraka wa Marekani!!! Mkwawa hakuwahi kuwa kibaraka wa mzungu!!! Mkwawa alipambana na wakoloni, Zele analea wakoloni ili kuitawala Urusi!! Nadhani bado hujaelewa kinachoendelea! Kwa sababu hiyo nadhani hukuwa na haki ya kuongea! Nyamaza kimya!
 
Huna ulichoandika ,hivi unajua assets zote ambazo zimekua freezing za urusi zitspigwa mnada ili kufidia Ukraine, unajua ,alafu ni vita hata miez 6haijachukua kwa nchi kama Ukraine sio ishu wamepewa misaada mingi sana inayozid mapato yao, wewe tatizo hupigi hesabu Russia amepoteza kiasi gani cha pesa had mda huu ,achilia mbali kwenye vifaa vya jeshi ,kaa upige hesabu ndio uje
 
W
We bwashee uko wap mkuu nikupatie kvant kubwa ,una mchanganuo wa kiume achana na hawa warusi wa manzese wasiojitanbua
 
Mzee ivi unajua kuwa wewe una vituko mno asee embu tumia akili vizuri bhana mtu mzima wewe Ukrain anapambana na mvamizi Russia , Russia katoka nchini mwake kaenda kuivamia Nchi ya Ukrain, sasa lavda wewe uniambie ni lin uyo Ukrain amewahi kuivamia Russia mkuu maana sijaelewa hoja zKo,

Kama kuna siku Ukrain amewahi kuivamia Russia basi weka apa ushahidi na chanzo cha kueleweka
 
Mnaongelea misaada au hasara?.nimetoa twakimu ya jimsi hasara inavyopatikana ila nashangaa unakuwa mgumu kuelewa.kuhusu izo assets zilizokuwa freezing za Urusi zipigwe mdana ili zifidie hasara za ukraine iyo kwanza sahau kabisa maana kuna kampuni nyingi sana zilizojiondoa Urusi zote zimepoteza assets zao sasa zitalipwa na nani.

Warusi wametangaza kabisa kampuni zilizojiondoa Urusi basi asset zao zitabaki kuwa mali ya urusi.kampuni kama Shell ilikuwa imewekeza hisa kwenye miradi mingi katika kampuni ya gazprom zote zimekwenda na maji.ukichukua uwekezaji wake sio chini ya 10 bilion us dollar.sasa hii na kampuni moja tu imepata loose kiasi icho je izo kampuni nyingine nazo zimepata hasara kiasi gani na nani atazipunguzia machungu.

Kuna ndege zaidi ya 100 ambazo zimekatazwa kutoka nnje ya Urusi maana yake zimetaifishwa na kuwa mali ya Urusi.dhamani tu ya izo ndege sio chini ya 30 us bilion.

Kampuni zaidi ya 350 zilitangaza kujiondoka Urusi kwa iyo asset zao zimebaki kuwa mali ya Urusi kwa mujibu wa vikwazo vilivyowekwa na Urusi kuwa kampuni itakayojiondoa basi asset zake zitakuwa mali ya Urusi.sasa unajuq kampuni izo zaidi za 350 zilikuwa zimewekeza kiasi gani Urusi?.
 
Alafu unatakiwa kujua kuwa Ukraine anapewa misaada michache ila anapewa mikopo mingi isiyokuwa na riba.hakuna wa kukusaidia tu bure maana kila mtu anamatatizo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…