Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

Hadi sasa upepo wa vita bado unamwendea vzr Zelensky. Wafuasi wa Putin mmeibuka kama uyoga pori baada ya kuskia mji mdogo wa Soledar umechukuliwa na Moscow. Lakini hadi sasa mwaka mzima unakaribia tangu hiyo sijui SMO bado hamna kitu. Na jueni tu hilo hata kama hamtaki kuliskia ukweli ni kwamba PUTIN HAWEZI KUWASHINDA WAZUNGU KAMWE.
 
Inasikitisha sana kwa kweli, halafu wanadai wanaikomboa Ukraine dhidi ya utawala wa kinazi...Putin ni mhalifu wa kivita.
 
Ukivamiwa usiku nyumbani kwako na majambazi/ vibaka wenye silaha wakahitaji kukubaka mbele ya mkeo/ watoto wako utaridhia tu kisa huna silaha?
 
Ukisikia mji umechukuliwa hata mdogo kwa sasa wewe jua tu kuwa maelfu ya silaha za nato yameteketea hivyo ni ushindi mkubwa kwa urussi sasa hivi mrusi hana hata haja ya kusonga mbele kwa sababu waukrain wanajileta wenyewe na kuteketea kwenye hayo maeneo unayo sema madoga baada ya muda jeshi la ukrain litakwisha bila urussi kusonga mbele hivyo urusi atachukua nchi kiulaini
 
Takriban warusi 730 wameuawa na shambulizi iliyofanywa na Majeshi ya Ukrain
 
Hayo ni.madai ya Putin kuutega huo mji bado Ukrain hawajathibitisha
 
Mji wa Soledaru uliopo kusini mwa Ukrain ambayo Mrusi anadai kuukamata

Hata kama ni.kwel, basi kumbuka kuwa Mrusi kuachiwa kukamata mjini ni.mtego kwao yaani wanataka kuwauwa wanajeshi wa Warusi wengi sana.
Hivi sasa kuna Batalon ya wanajeshi 500 waliomaliza kupewa mafunzo na jeshi la USA HUKO GERMAN
Hawa wakiingia kazini na kifaru kipya cha Mjerumani challenger
Kaka warusi wamepatikana this time
 
Hongera kwa imani na matumaini na ndoto za usingizini.
 
Kamanda wa Ukraine amekiri kombora lJILIopiga Kherson hawajawahi ona.Limerushwa kutoka Khusk na hawana kifaa cha hata kujaribu kulitungua, Tena lenyewe ni la tangu enzi za Usoviet 1960 na yamejaa chungunzima kwenye masilo,
Itakuwaje yakianza kutumika kupiga Kyiv usiku na mchana.
 
Hamna lolote wao wanapiga Raia
ni kombora la uoga ambalo la kufanya uharibifu sio la kudhoofisha jeshi

Vipi ukraine wakiamua kuwarushia HIMERS? waulize warusi wanalijua
 
Hamna lolote wao wanapiga Raia
ni kombora la uoga ambalo la kufanya uharibifu sio la kudhoofisha jeshi

Vipi ukraine wakiamua kuwarushia HIMERS? waulize warusi wanalijua
Himaris zimeshindwa kulidungua,Kuna patriot moja itafika mwezi ujao kutoka Marekani,Askari 50 wa Ukraine washaanza kupewa mafunzo ya namna ya kuitumia huko Ujerumani,
Unaonaje kama Urusi akianza kusafisha maghala yake hizo kombora za 1960 ambazo hazikamatiki kutabaki Ukraine kweli. Jeuri ya Zelensky huenda zikapelekea Urusi kuchukua uamuzi huo akiwacha Hypersonic zake siku Marekani na Uiengereza wakisogea zaidi ya walipo sasa,
 
Na ww hyo video umeiamini?
 
Point yako ni ipi?
Kama umeamini hyo video basi ww bado sn au mgeni wa propaganda za magharibi hzo video zinatengenezwa tu kuchafuana kama unakumbuka kabla iraq haijavamiwa usa walitoa hadi video kuonyesha iraq wanamiliki silaha za wmd lakini mpk leo mwaka wa ngapi tangu waivamie iraq ushatangaziwa kuna silaha iliyokutwa iraq?na wamekiri walidanganya na kama wamekiri walidanganya zile video walizitoa wapi ndio maana nnakwambia hayo mavideo propaganda huwa wanatengezwa tu.
 
Kaka mbona unatufokea kwsni sisi ndio zelenkisy🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…