stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Hadi sasa upepo wa vita bado unamwendea vzr Zelensky. Wafuasi wa Putin mmeibuka kama uyoga pori baada ya kuskia mji mdogo wa Soledar umechukuliwa na Moscow. Lakini hadi sasa mwaka mzima unakaribia tangu hiyo sijui SMO bado hamna kitu. Na jueni tu hilo hata kama hamtaki kuliskia ukweli ni kwamba PUTIN HAWEZI KUWASHINDA WAZUNGU KAMWE.