Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

Wameshindwa kuliona ila wewe umeliona!
 
 
Wameshindwa kuliona ila wewe umeliona!
Rusia ni mchovu angekuwa na nguvu ndo angealika msaada wa Korea na china na waarabu ,kombora la ajabu Gani unadhani wengine hawana ajabu ,hiyo storm Shadow ni ajabu kupiga base ya unaemwita mbabe
 
Ni sawa na wewe upigane na mwanao alafu una okota mawe ww kumtishia mwanao
 
West hawa
Ni sawa na wewe upigane na mwanao alafu una okota mawe ww kumtishia mwanao ,west hawajawa serious na vita hiyo ukiona rusiakatumia silaha hiyo ndio kaona na msaada kuliko zote kwa hiyo ni ishara kwamba Hana tena nguvu
 
Unaelewa maana ya neno niliacha kufuatilia? Halafu hapo unipe kazi ya kijinga kabisa nitafute link Kwa sababu ya ujinga wako?
Ama kweli kichwa chako kimejaza mavi mtupu.
 
Niliacha kufuatilia hii vita baada ya bibisi kusema Russia imemaliza siraha na Sasa wanatumia chepe(koleo) kupigana na wanajeshi wa Ukraine. Nikaona hii vita kumbe imekaa kishabiki sana
Kwa hapa Tanganyika kuna Chawa wa Putin na Chawa wa wale wengine. Uchawa bila malipo, wala hakuna jipya zaidi ya mabishano.
 
Tuliza mpira, mambo yanajiseti, France jana pia ametangaza silaha zake zipige popote Russia, nadhan hujafuatilia vizuri jana zaidi ya mizinga 15 imetua kwenye ardhi ya Russia em jifunze kupitia kwanza vyombo vya habari ndio uje na uputini wako hapa
 
Zelensky ni bora akawaambia hao jamaa zake kuwa hataki vita, imeshakuwa ni mashindano ya silaha mpya za kisasa. Jamaa zake nao wanataka waingie vitani kutumia silaha zao na kuzijua ufanisi wake. Bora vita imalizike tu maana kila taifa lina silaha mpya watataka kuzijaribu ubora wake, ni hatari kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…