akili kisoda
Member
- Oct 31, 2024
- 17
- 38
Kupigana na mataifa 30 kwa wakati mmoja tena ili hali ana chungu nzima ya vikwazo vya kiuchumi inabidi umsifu Vladimir Putin. Ukraine bila backup ya NATO saizi ingekuwa inaitika Moscow.Vita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu