passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Russia is very powerfulView attachment 2211119
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ingekuwa raisi hivyo wangeanza kwenye conventional weapons.kuneutralize makombora na ndege.Majeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumia
Teknolojia ziko juu sana sasa hivi
Unaweza jaribu washa nyukilia watu wakazima kwa remote tu!!
... siku mwendawazimu Putin atakapojaribu kuwasha nyuklia for sure Moscow, Petersburg, na miji mingine itageuka majivu. Asidhani nukes anazo yeye tu; na wengine wanazo na options zote zimekamilika. Anasubiriwa yeye tu; hata Biden juzi kati alisema wako tayari kwa lolote analotaka kufanya huyo mwehu!
Laser weapons zitauwezo wa shusha any kind of missiles/attacks. Pale Kyiv naamini tayari zimeshawekwa silaha za maangamizi kuelekea Moscow.You are really a Great thinker
Congratulations
Hajatangaza Vita Putin i'la Ni hekaya na hisia za CNN Kwamba may 9 wakati wa Moscow day parade pengine atatangaza Vita dhidi ya UkraineNa itaenda mpaka mwakani, japo hatujajua vita kamili alotangaza putin italeta nini ndani ya ukraine.
Hahahahah ni kipigo tu😅Duh ingekuwa raisi hivyo wangeanza kwenye conventional weapons.kuneutralize makombora na ndege.
Hata hivyo vyote vipo sema so effective.
Ngao dhidi ya nuclear zipo sema so effective kuzuia kombora 700 zinazokuja nyumbani either Moscow au Washington
Kyiv tu mji mkuu wa Ukraine mrusi kakimbia mbio baada ya kumuonyesha cha mtema kuni mrusi hadu akabweka ooooh naenda Donbas !!Duh ingekuwa raisi hivyo wangeanza kwenye conventional weapons.kuneutralize makombora na ndege.
Hata hivyo vyote vipo sema so effective.
Ngao dhidi ya nuclear zipo sema so effective kuzuia kombora 700 zinazokuja nyumbani either Moscow au Washington
Ok wapigwe wapigajiHahahahah ni kipigo tu[emoji28]
Ukiona wamtishia mtu nitakufanya hivi na bado anaendelea na kile umzuiacho, jua anakumuduHawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida, sana sana hizo nukes alizonazo.
Hii game itamuumbua zaidi Putin.
Akitangaza Full war maana yake reservists wataingizwa Ukraine, maana yake mauaji ni mengi kwa jeshi la UrusiNdio mana sasa Putin ameona hakuna mchezo tena May 9 huenda akatangaza vita kamili badala ya ile anayoiita operation kufeli kuliko kufeli., ni tofauti kabisa, russia ili-take it easy. Urusi watafurushwa Ukraine kama kuku na watarudi kwao wakajipange tena,
Watasema propaganda
Hujitambui aiseeeLaser weapons zitauwezo wa shusha any kind of missiles/attacks. Pale Kyiv naamini tayari zimeshawekwa silaha za maangamizi kuelekea Moscow.
Kama silaha za kawaida za urusi mnashindwa kuziangusha ngoja ni kuambie Tu hakuna mfumo unaoweza kuzuia nuclear ya urusi hizo laser ni porojo zako.Laser weapons zitauwezo wa shusha any kind of missiles/attacks. Pale Kyiv naamini tayari zimeshawekwa silaha za maangamizi kuelekea Moscow.
Amina mtumishi wa MunguSio tetesi meli mbili zimezamishwa na zimeonyeshwa TV zikipigwa na wanajeshi wa Ukraine
Wanaogopa kifooooooUnajuaje umewahoji?
Inawezekana hata hizo nuke Anazo dai enazo ni za mchongo!Hawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida, sana sana hizo nukes alizonazo.
Hii game itamuumbua zaidi Putin.
Majeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumia
Teknolojia ziko juu sana sasa hivi
Unaweza jaribu washa nyukilia watu wakazima kwa remote tu!!