Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

Russia is very powerfulView attachment 2211119
Screenshot_20220504-124855.jpg
 
Majeshi ya NATO yalishafanya mazoezi ya kivita ya namna kujilinda na kupambana na silaha za nyukilia endapo Russia atazitumia

Teknolojia ziko juu sana sasa hivi
Unaweza jaribu washa nyukilia watu wakazima kwa remote tu!!
Duh ingekuwa raisi hivyo wangeanza kwenye conventional weapons.kuneutralize makombora na ndege.
Hata hivyo vyote vipo sema so effective.
Ngao dhidi ya nuclear zipo sema so effective kuzuia kombora 700 zinazokuja nyumbani either Moscow au Washington
 
Russia huwa sio mtu wa Mboyoyo Biden asubirie kupewa kitu roho inapenda akiwa hapo hapo Pentagon😅
... siku mwendawazimu Putin atakapojaribu kuwasha nyuklia for sure Moscow, Petersburg, na miji mingine itageuka majivu. Asidhani nukes anazo yeye tu; na wengine wanazo na options zote zimekamilika. Anasubiriwa yeye tu; hata Biden juzi kati alisema wako tayari kwa lolote analotaka kufanya huyo mwehu!
 
Duh ingekuwa raisi hivyo wangeanza kwenye conventional weapons.kuneutralize makombora na ndege.
Hata hivyo vyote vipo sema so effective.
Ngao dhidi ya nuclear zipo sema so effective kuzuia kombora 700 zinazokuja nyumbani either Moscow au Washington
Hahahahah ni kipigo tu😅
 
Kyiv tu mji mkuu wa Ukraine mrusi kakimbia mbio baada ya kumuonyesha cha mtema kuni mrusi hadu akabweka ooooh naenda Donbas !!

Mikombora yake mbona Kyiv tu alishindwa kuteka na hiyo mikombora yake koko

Sembuse kurusha Washington?
Nashauri hata majeshi yetu yaachane na silaha za mrusi wakanunue nchi za Magharibi

Vifaru tu vya kirusi vinatwangwa na kombora Javelin kinachakaa kama mkaa.
Hadi sasa mrusi anarusha tu makombora ya masafa marefu Vifaru vyake kaburi lake Ukraine!!
Mrusi kwa sasa ana mikwala mbuzi
 
Hawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida, sana sana hizo nukes alizonazo.

Hii game itamuumbua zaidi Putin.
Ukiona wamtishia mtu nitakufanya hivi na bado anaendelea na kile umzuiacho, jua anakumudu
 
Ndio mana sasa Putin ameona hakuna mchezo tena May 9 huenda akatangaza vita kamili badala ya ile anayoiita operation kufeli kuliko kufeli., ni tofauti kabisa, russia ili-take it easy. Urusi watafurushwa Ukraine kama kuku na watarudi kwao wakajipange tena,
Akitangaza Full war maana yake reservists wataingizwa Ukraine, maana yake mauaji ni mengi kwa jeshi la Urusi
 
Mrusi angekuwa mwarabu ningeamini atatumia mabomu ya nuklia ila kwa kuwa nae ni mzungu hakuna jipya.
Hayo anayopigia kelele ni mikwala tu.putin aatataman kutumia nukilia pale atakapo hisi kaelekezwa kibla tayari kwa kuchinjwa na istoshe ni raia wachache sana wanaomunga mkono kwa hii vita
Kwa iyo kajipunguzia hata upendo kwa raia wake
Ni vita ambayo warusi kama wazungu wanaichukia hii vita na mauaji yanayoendelea kwa ndugu zao wa kiuklein
Wanaiona kama vita isiyo na umuhimu kwao
Putin mgomjwa wa stress
PUTINI ALIKUWA SHUJAA WA KIRUSI BAADA YA KURUDISHA NGUVU ZA URUSI NA KUANZA KUESHIMIKA TENA
LAKINI NI HUYO HUYO ANAEISHUSHA TENA.HII VITA NDIO ITAKAYOIDHOOFISHA TENA URUSI
 
Maneno kama haya ya Elensky yanazidi kuifanya Ukraine kua magofu. Ananikumbusha yule waziri wa habari wa Iraq wakati wa nchi yake ilivyokua inashambuliwa na marekani[emoji3]
 
Laser weapons zitauwezo wa shusha any kind of missiles/attacks. Pale Kyiv naamini tayari zimeshawekwa silaha za maangamizi kuelekea Moscow.
Kama silaha za kawaida za urusi mnashindwa kuziangusha ngoja ni kuambie Tu hakuna mfumo unaoweza kuzuia nuclear ya urusi hizo laser ni porojo zako.
 
Hawajui hata sisi zamani tuliamini hakuna mbabe wa Vita zaidi ya Russia ila baada ya siku kusonga mbele tunamuona Russia ni wa kawaida, sana sana hizo nukes alizonazo.

Hii game itamuumbua zaidi Putin.
Inawezekana hata hizo nuke Anazo dai enazo ni za mchongo!
 
Hakuna kitu kama icho duniani.mabomu tu ya kawaida inshu sembuse nuclear ndugu.mbona unaleta utani

Back
Top Bottom