Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zelensnkyy kajiandaa kwa vita ya muda mrefu wakati Urusi alijiandaa kwa vita ya muda mfupiNgoja tuone na ukaidi wake...
... ha ha ha! Hiyo kitu imenishangaza sana hadi nimejiuliza wanatumia materials gani; utafikiri mbao za mikaratusi!....
Vifaru tu vya kirusi vinatwangwa na kombora Javelin kinachakaa kama mkaa.
Hadi sasa mrusi anarusha tu makombora ya masafa marefu Vifaru vyake kaburi lake Ukraine!!
Mrusi kwa sasa ana mikwala mbuzi
... Ukraine kaburi la uhakika la majenerali wa Kirusi. Pa moto sana kwao.Majeneral wote wanaogopa kuingia Ukraine pamoja na mafsa wengine.
Kwa hiyo mtu mzima itabidi akimbilie panga baada ya kuona kwa ngumi kavukavu anaelemewa Tena kijana mdogo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ni aibu!Ya pili kuwaa vita ilivyoanza kuna maeneo Russia kayateka anayakalia na majeshi yake ikiwemo hapo Mariupol alikozingira kiwanda cha chuma
Kwa hiyo lengo la pili ni kuhakikisha popote Jeshi la Urusi lipo kwa sasa wanaondolewa
Ila zipo za kuzuia nuclear ya nchi za NATO ?Kama silaha za kawaida za urusi mnashindwa kuziangusha ngoja ni kuambie Tu hakuna mfumo unaoweza kuzuia nuclear ya urusi hizo laser ni porojo zako.
Nani hana hiyo nyuklia au ni Russia tu ndio anaruhusiwa kuwa nayo.Ni maneno ya kishujaa ambayo kila kiongozi uwa anayatumia.mpaka crimea irudi huyo Mrusi atabaki anakuangalia tu wakati nyuklia zipo
Ameeeeen......!... Mungu wa mbinguni akamtangulie Zelensky; akawaongoze watu wake Ukraine. AMEN.
Ondoa hiyo sometimes aisee!Ndo maana sometimes nakuona mweupe kichwani
Amina[emoji120]... shukrani sana Mkuu. Seeing is believing. Imekaa vizuri sana! Mungu aendelee kusimama na Ukraine.