Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

Zelensnky aeleza malengo yake kivita ni pamoja na kuikomboa Crimea kuirudisha kwenye himaya yake

Ngoja tuone na ukaidi wake...
Zelensnkyy kajiandaa kwa vita ya muda mrefu wakati Urusi alijiandaa kwa vita ya muda mfupi

Akatuma best fighters wa Jeshi la Urusi kuwa wawe wamemaliza kazi ndani ya siku Tatu kuteka Kyiv na kuangusha Serikali

Matokeo wameuawa kama kuku

Hawa fighters anaowatumia sasa hivi Urusi wa kawaida sana.Kazi kubwa ilikuwa kupambana na wale wa mwanzo sababu walichululiwa the best !!

Putin alipanga short term war na bajeti ya short term.Ukraine kamjia mrusi na long term war.Hapo kuanzia bajeti ya Urusi tayari imeyumba kuanzia bajeti ya vifaa vya kivita ,bajeti ya Askari wapiganaji na bajeti ya kuendesha nchi imeyumba!! Wakati Ukraine kajipanga kwa vyote
 
....

Vifaru tu vya kirusi vinatwangwa na kombora Javelin kinachakaa kama mkaa.
Hadi sasa mrusi anarusha tu makombora ya masafa marefu Vifaru vyake kaburi lake Ukraine!!
Mrusi kwa sasa ana mikwala mbuzi
... ha ha ha! Hiyo kitu imenishangaza sana hadi nimejiuliza wanatumia materials gani; utafikiri mbao za mikaratusi!
 
Usiruhusu mtoto mdogo akakuzoea popote pale, iwe kwenye vita, hata michezo km draft, iwe ps n.k,akikufunga atakukosea adabu, unaweza ukawa umepumzika na wife akaja na kusrma, broo twende nikakupe kichapo ninachokupaga, hakikisha ukimkamata mkamue kisawa sawa,
Sasa putin kachrka na zelensky haya ndio madhara yake.
 
Ya pili kuwaa vita ilivyoanza kuna maeneo Russia kayateka anayakalia na majeshi yake ikiwemo hapo Mariupol alikozingira kiwanda cha chuma

Kwa hiyo lengo la pili ni kuhakikisha popote Jeshi la Urusi lipo kwa sasa wanaondolewa
Kwa hiyo mtu mzima itabidi akimbilie panga baada ya kuona kwa ngumi kavukavu anaelemewa Tena kijana mdogo [emoji2][emoji2][emoji2] ila ni aibu!
 
Back
Top Bottom