Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Chanzo cha taarifa yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha taarifa yako?
Kama hayaui kwa nini Zembwela analalamika na kujutia.maneno hayaui
jamaa kadaka Prado moja safi sana
Piga kazi Zembwela
Asitupange Sisi siyo wajinga kama yeye na Wapuuzi wenzie kina Kitenge na Hando aliyeamua kujitoa akili baada ya Watanzania Wazalendo kumsapoti alipofukuzwa kazi kionevu.Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):
"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.
Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.
Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""
...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".
"
MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.
Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.
ni upepo tu, utavuma kisha utapitaKama hayaui kwa nini Zembwela analalamika na kujutia.
Pressure ya juu inaua, matusi nayo ni scud missie.
Hao kina Zembwela uwezo wao ni u MC wa viharusi vya uchochoroni.Asitupange Sisi siyo wajinga kama yeye na Wapuuzi wenzie kina Kitenge na Hando aliyeamua kujitoa akili baada ya Watanzania Wazalendo kumsapoti alipofukuzwa kazi kionevu.
Kabla hawajaondoka nchini tayari walikuwa wapiga Debe wa DP World. Wamekwenda huko baada ya Kitenge kupiga promo kubwa mitandaoni kwamba anawajua DPW na watakwenda kuendesha kipindi ofisini kwao na wakafanya hivyo. Leo anajitoa eti alienda kuthibitisha kama wapo?
Moderator Maxence Melo mnambeba sana huyu jamaa hata akitukana hapigwi ban.Awe makini kujiweka kimbelembele kwenye vitu asivyovijua, siku nyingine ataalikwa na kufirwa au kuvunwa figo huko uarabuni.
Inatakiwa tuanzishe kampeni maalumu mitaani ya kuwatenga wote walihusika na huu Mkataba.Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):
"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.
Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.
Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""
...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".
"
MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.
Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):

Zembwela aliamua kufanya biashara ya utumbo. Asiogope nzi.. anayo pata sasa ni yale manyama walio kuwa wana jisifu nayo kule Dubai. DaadikkHaya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):

😂😂😂😂😂😂😂😂😂Awe makini kujiweka kimbelembele kwenye vitu asivyovijua, siku nyingine ataalikwa na kufirwa au kuvunwa figo huko uarabuni.

HahahahhahahaAwe makini kujiweka kimbelembele kwenye vitu asivyovijua, siku nyingine ataalikwa na kufirwa au kuvunwa figo huko uarabuni.
Ujinga na ufala uleule wa Watanzania kuingia jambo kichwakichwa bila kujua undani wake.Kwa hiyo wanamaanisha kiherehere ndio kilichowaponza...
Kwa hiyo wanamaanisha kiherehere ndio kilichowaponza...
Waambie hao watoto wa 90Hali ngumu ilikuwapo tangu zamani, tena zaidi ya hii, watu tumenunua unga wa muhogo kwa lazima maduka ya kaya, kwa kuandikiwa kilo kwenye kitabu kwa mujibu wa ukubwa wa familia.
Kwenda Nairobi ilikuwa big deal kwa sababu watu walikuwa wanarudi na dawa ya kupigia mswaki na sabuni.
Kuna wakati mpaka wa Tanzania na Kenya ulikuwa umefungwa. Nyerere alivyotangaza mpaka kufunguliwa watu wakapumua.
Nakuelezeni habari tulizoishi, watoto waliozaliwa 1992 wengi hawazijui.
Mtu aliyekuwa anajielewa 1980 mpaka 1985 atajua naondika nini.
Mpaka Mzee Rukhsa Alhaji Ali Hassan Mwinyi "Nzasa" akatutoa katika lindi lile la fedheha.
Lakini hatukuwa na uchawa wa kiwango hiki.
Ni watu tu kujiachia.
Nasikia DP World ameshachomoa hataki tena hiyo biashara anadai hela yake ya kilainishi $ 50millionHaya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):
"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.
Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.
Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""
...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".
"
MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.
Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.
Kumbuka hata yule Kabendera Shinani alijikuta anajitumbukiza ziwa Victoria !!! Na yeye kazi yake nilikuwa kama ya hao kenge.Mambo mengine siyo ya kujitia kifronti
Wakati Ibrahim anakwenda Kumchinja Isaka Kondoo akajitia kifronti akajikuta yeye ndio anatolewa kafara badala ya aliyetarajiwa😃