Zembwela ajutia kuingia sakata la DP World

Huo uswahiba wake na Kitenge awe makini tu.

Kwa huu ujuha alioueleza asije kuuzwa akabebeshwa unga akapotea.
Zembwela ni mwanetu sana sisi watanzania tulio wengi. Ni kweli huku kujiweka kwenye mbawa za Kitenge kutamponza. Kitenge ni mtoto wa Kariakoo, na hao siku zote ni opportunist ambao hata utu wao wapo tayari kuuweka rehani.
 
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):

"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""

...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".

"

MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.

Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.

Njia pekee ya kujitakasa ni kusalimisha hadharani kwa kuupeleka kwenye vituo vya wazee mshiko waliopewa.
 
Hizi takataka Zembwela na Kitenge, ingekuwa ni nchi zinazopebda kuchukua hatua dhidi ya kila uovu, zisingekuwa bado zina uwezo hata wa kuzagaa mitaani.

Watu wana majonzi yaliyosababishwa na uharamia uliofanywa na Mbarawa na genge lake dhidi ya Watanganyika, yenyewe yanaenda kumsifia mporaji.

Mwarabu alipokuja Afrika na kumfanya mwaafrika ni bidhaa-mnyama kama ilivyo ng'ombe au nguruwe, kwani huko kwao Uarabuni hakukuwa na uhalisia wa wao kuwepo?

Au wakoloni wazungu walipokuja Afrika na kuona Mwafrika ni mtu wa kutawaliwa na Serikali za Ulaya, ungeenda huko kwao usingeziona ofisi za Serikali?

Mjinga Zembwela kuziona ofisi za DP huko Dubai, zinabadilisha nini katika ushenzi wa mkataba wa bandari?
 
Zembwela, Mhando na huyo jinga la mwsho Kitenge wote mafala sana. Walijua watanzania watawakubali hawa DPW kwa mkataba wa kijinga huu? Sio kila Jambo ni opportunity. Always opportunity goes with research first.
 
Moderator Maxence Melo mnambeba sana huyu jamaa hata akitukana hapigwi ban.

Kuhusu Zembwela aseme ni nani alifadhili safari yao na kwa nia gani? Pia ni kwanini yeye (Zembwela), Kitenge na Hando wamekuwa mstari wa mbele kutetetea mkataba huu wakati anasema yeye si mtaalamu wa sheria?
Nimetukana wapi? Nimemtukana nani?

Kutukana ni nini? Unajuaje hapa huyu anatukana, na huyu anatoa tahadhari kwa lugha ya picha ambayo wewe kwa ulegevu wa mawazo yako unaona anatukana?

Unaelewa fikra ya kidhahania ni nini?
 
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):

"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""

...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".

"

MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.

Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.
Kitenge ndiyo tatizo., maana hata utangazaji wake ni sanaa tu. Kila jambo linalotetea DPW utalikuta kwenye post za Kitenge akilisisitizia.

Labda na yeye kapewa kipande cha ardhi Dubai ndiko anakotarajia kuhamia na ukoo wake, yeye hana hasara kwenye hili Taifa, hata Tz ikiuzwa kwake fresh tu.

Watu wanazungumzia Mkataba, yeye daily anazungumzia ufanisi wa DPW. na kupiga debe ati Watz hawawataki wawekezaji, ni ujinga tu.
 
Hizi takataka Zembwela na Kitenge, ingekuwa ni nchi zinazopebda kuchukua hatua dhidi ya kila uovu, zisingekuwa bado zina uwezo hata wa kuzagaa mitaani.

Watu wana majonzi yaliyosababishwa na uharamia uliofanywa na Mbarawa na genge lake dhidi ya Watanganyika, yenyewe yanaenda kumsifia mporaji.

Mwarabu alipokuja Afrika na kumfanya mwaafrika ni bidhaa-mnyama kama ilivyo ng'ombe au nguruwe, kwani huko kwao Uarabuni hakukuwa na uhalisia wa wao kuwepo?

Au wakoloni wazungu walipokuja Afrika na kuona Mwafrika ni mtu wa kutawaliwa na Serikali za Ulaya, ungeenda huko kwao usingeziona ofisi za Serikali?

Mjinga Zembwela kuziona ofisi za DP huko Dubai, zinabadilisha nini katika ushenzi wa mkataba wa bandari?
Hivi yule waliyemhoji kule alikuwa ni kuli tu

Ova
 
Zembwela, Mhando na huyo jinga la mwsho Kitenge wote mafala sana. Walijua watanzania watawakubali hawa DPW kwa mkataba wa kijinga huu? Sio kila Jambo ni opportunity. Always opportunity goes with research first.
Wao wanajiona wana followers wengi
Sijui wanaushawishi [emoji1] kwa watzz

Ova
 
Ndio amejuta? Hamna kauli inayoonesha amejuta bali amesikitishwa na baadhi ya watu kumtusi. My take kutofautiana kimtazamo sio uadui
 
Wao wanajiona wana followers wengi
Sijui wanaushawishi [emoji1] kwa watzz

Ova
Followers wao ni wanawake wanaoshinda saloons, bars, vigenge na uswahilini huko. Hakuna mwanaume/ mwanamke anayejitambua akawaelewa hawa jamaa wanaojifanya kilakitu wao wanajua.
 
Exactly [emoji817]

Ova
 
Back
Top Bottom