Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

Babu Zembwela ana madini mengi sana kichwani, kama utamsikiliza bila ushabiki na hasira
 
The Degree doesn't make you graduate,but whom you know will make you graduate
 
Stress kawaida mimi binadamu , ila huo ndio ukweli , idara zote ziko chini ya wasomi hakuna cha maana upuuzi mtupu
Hao ambao hawajasoma wamefanya nini? Ndio matapeli wa mjini
 
Hao ambao hawajasoma wamefanya nini? Ndio matapeli wa mjini
Matapeli wengi ni wasomi , wanaiba kodi za wananchi matokeo yake nchi inashindwa kuendelea, wasio soma ni kama wakina Bakhresa talanta ya biashara imetulia pale , wakina Msukuma wanajiamini kuliko hao wasomi wako wezi
 
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Sinema tu hizi za kujisafisha mtu anadanganya wakati wote tumeona cctv camera
 
Sasa bashite na zembwela SI ndio wanaofanana. Tatizo ni Kwa hao professional kukubali Hilo litokee mbele yao
Kweli kabisa mkuu alafu hao waandishi wa habari kutwa kumsagia kunguni Jery Slaa kwamba anawatenga wakati wanatumika na wanasiasa kama toilet paper.
 
Matapeli wengi ni wasomi , wanaiba kodi za wananchi matokeo yake nchi inashindwa kuendelea, wasio soma ni kama wakina Bakhresa talanta ya biashara imetulia pale , wakina Msukuma wanajiamini kuliko hao wasomi wako wezi
Jitahidi sasa uwe na akili
 
Jitahidi sasa uwe na akili
Unaweza kuwa na elimu na akili usiwe nayo, Bakhresa ana akili nyingi kuliko wasomi wengi tu ambao wanachojua wao kuiba tu na kula rushwa, siku nyingine usichanganye akili na kukariri
 
Back
Top Bottom