Anakwambia alipata kazi kwa kumchamba mtu dah Mungu tusamehe na tulipofikaJe, Docta kumbuka asiye na kisomo chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwambia alipata kazi kwa kumchamba mtu dah Mungu tusamehe na tulipofikaJe, Docta kumbuka asiye na kisomo chochote.
Mobeto ni mgeni rasmi kwenye mkutano wa kimataifa wa madini, kila kitu kinawezekanaNdio Nchi inavyoenda hivyo,Jokate kuwa Katibu UWT hushangai
Lokole kuwamtangazaji je?
Duh! Bora angefunga bakuli lake.Anakwambia alipata kazi kwa kumchamba mtu dah Mungu tusamehe na tulipofika
Hao ambao wako certified ndio wameharibu nchi , bora wenye talanta kama Zembwela wapige kaziMadini yapi? Hayo madini hayako certified na taasisi yoyote, ujanja ujanja tu kama Mbwiga wa Mbwiguke
Ndio idara zote nchi hii zina endeshwa na watu waliopita shule , HAKUNA cha maana walicholeta zaidi ya wizi tuUna ushahidi hata mmoja kwamba wameharibu nchi?
Zembwela ana uwezo gani?Mkuu dunia ya sasa tunatakiwa tubadilike. Ata ukitaka kuajiri kwenye ofisi yako angalia mtu mwenye uwezo na sio mavyeti. Kuna karama kila binadamu kapewa.
Usikariri.
Stress kawaida mimi binadamu , ila huo ndio ukweli , idara zote ziko chini ya wasomi hakuna cha maana upuuzi mtupuUna stress?
Matapeli wengi ni wasomi , wanaiba kodi za wananchi matokeo yake nchi inashindwa kuendelea, wasio soma ni kama wakina Bakhresa talanta ya biashara imetulia pale , wakina Msukuma wanajiamini kuliko hao wasomi wako weziHao ambao hawajasoma wamefanya nini? Ndio matapeli wa mjini
Sinema tu hizi za kujisafisha mtu anadanganya wakati wote tumeona cctv cameraNadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?
Hii tasnia haina seniority?
Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.
Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.
Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Kweli kabisa mkuu alafu hao waandishi wa habari kutwa kumsagia kunguni Jery Slaa kwamba anawatenga wakati wanatumika na wanasiasa kama toilet paper.Sasa bashite na zembwela SI ndio wanaofanana. Tatizo ni Kwa hao professional kukubali Hilo litokee mbele yao
Usishangae mkuu, haya mambo huwa yanawezekana Tanzania tu!Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.
Jitahidi sasa uwe na akiliMatapeli wengi ni wasomi , wanaiba kodi za wananchi matokeo yake nchi inashindwa kuendelea, wasio soma ni kama wakina Bakhresa talanta ya biashara imetulia pale , wakina Msukuma wanajiamini kuliko hao wasomi wako wezi
Unaweza kuwa na elimu na akili usiwe nayo, Bakhresa ana akili nyingi kuliko wasomi wengi tu ambao wanachojua wao kuiba tu na kula rushwa, siku nyingine usichanganye akili na kukaririJitahidi sasa uwe na akili