Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Tofautisha tax evasion, tax avoidance na tax fraud. Kukwepa kodi sio kosa ni kucheza na sheria tu ambayo ndio hasa kazi ya mshauri wa kodi.

Ni kama tu wanasheria wanavyolinda maslahi ya mteja hata kama ameua huwezi sema ni mafia. Mfano ukiwa listed DSE basi kodi inapunguzwa by 5% so PwC anaweza advise uwe listed ili ulipe less in corporate tax sasa hapo umafia kivipi?
 
Unaelewa kitu kinaitwa kukwepa Kodi, na Kuepuka Kodi?
 
Mfano huo
Hiyo 63,000 USD ni zaidi ya 160 million.... sasa akipata mbili tu kwa mwaka unadhani ana shingapi? Mind you ni nje ya mshahara na kazi zingine kimataifa
 
Bado watu hawajeelewa tofauti kati ya Schooling na education .... Schooling ndiyo hiyo ya vyuo na ndugu zake wa schools mbalimbali... Maishani kinachokutoa ni education ( kuwa na ufahamu wa mambo mbalimbali yanayokupa faida na kukusaidia katika nyanja yako... Ukiamua kuweka commercial side of it, vile vile utapata faida za kiuchumi, kama pesa, kufungua biashara na nk.....

Ila kuchukulia hao jamaa wawili kama kigezo ni kurahisisha mambo kihovyo hovyo.. hao sio kipimo.
 
Unaelewa kitu kinaitwa kukwepa Kodi, na Kuepuka Kodi?
Unamjua professor Luoga aliyekua gavana BOT alikua ndio mshauri wa kodi Vodacom so aliwapa mianya yote ya kodi zipi za ku avoid mbona hamkumuita mafia? Ni sawa na kuita mawakili ni mafias kisa kutetea majambazi!!
 
Vipi paramagamba kabudi
 
Unamjua professor Luoga aliyekua gavana BOT alikua ndio mshauri wa kodi Vodacom so aliwapa mianya yote ya kodi zipi za ku avoid mbona hamkumuita mafia? Ni sawa na kuita mawakili ni mafias kisa kutetea majambazi!!
-mimi nimekuuliza swali umeshindwa kujibu,
Kuepuka Kodi na kukwepa Kodi, umeshindwa kujibu
Halafu unajinasibu kuwa wewe ni Lecturer
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Elimu muhimu sana..hao unaowaona wa maana ni sababu ya social media ambazo zimeanzishwa na wasomi hao hao...
Kenge weee....!
 
Halafu unajinasibu kuwa wewe ni Lecturer
Wapi nimesema mie lecturer, sina PhD mimi nafundisha tena undergraduate tu.
mimi nimekuuliza swali umeshindwa kujibu,
Kuepuka Kodi na kukwepa Kodi, umeshindwa kujibu
Kukwepa kodi ni tax evasion ila kuepuka kodi ni tax avoidance ambayo ni halali kisheria sababu unapunguza eligible taxable income as per your tax bracket
 
Umesoma lakini hiyo scandal na ukaelewa criminal involvement ya pwc kwenye hilo sakata wewe ?
Yaani pwc wafanye kazi na serikali halafu watumie nyaraka za serikali na kuziuza kwa clients wao ili kuzitumia kukwepa kodi halafu useme sio crime ? ,
Yaani conspiracy na act ya kudefraud serikali sio crime ?
Hiyo corporate law ulisomea wapi ?
Unafikiri ni kwa nini nchi zote duniani zinakimbizana na kuyabana makampuni kisheria yanayofanya tax evasion ?
Unajua implications za hiyo kitu we jamaa ?
 
Haya makampuni ni criminal cartels , ni kwamba tu kuna watu wakubwa duniani ni wamiliki wa hisa kwenye hayo mashirika na ndio wanayakingia kifua ili yaendelee kufanya huo umafia wanaofanya ,
Result ni kuendeleza umasikini kwa nchi masikini ,hao wahuni wanatengeneza tax evasion and fraud schemes wanawauzia clients ambao ni makampuni makubwa nk,hata money laundering wanafanya hao , unakuta mtu ni kiongozi fisadi kaiba pesa hao wahuni wanatengeneza hata kampuni feki (shell) companies zinasajiliwa kwenye tax heaven's hizo halafu hizo pesa alizoiba huyo mhuni mmoja zinakuwa chini ya kampuni Fake ambayo hata haiexist ,wanachofanya ni uhuni .
Hivyo hivyo hata kwa makampuni binafsi , pesa zinaishia kutoroshwa nje kinyemela kwa schemes za kihuni za hawa auditing firms
 
Wapi nimesema mie lecturer, sina PhD mimi nafundisha tena undergraduate tu.

Kukwepa kodi ni tax evasion ila kuepuka kodi ni tax avoidance ambayo ni halali kisheria sababu unapunguza eligible taxable income as per your tax bracket
Sasa wewe hiyo scandal ya pwc kule Australia Kwa akili yako unaona inaingia kwenye aspect ya tax avoidance ?
 
- kwani ili uwe Lecturer lazima uwe na PhD? Hata ukiwa na masters tu unaweza kuwa Lecturer provided that una experience ya kutosha
-mwanzoni ulikuwa umechanganya hizo concept mbili Kati ya Tax evasion na avoidance, (kukwepa Kodi na kuepuka Kodi)
 
Maprofesa wetu wamekosa ushawishi kwa jamii, watunga sheria na sera hata kwa familia zao wenyewe
 
Sasa wewe hiyo scandal ya pwc kule Australia Kwa akili yako unaona inaingia kwenye aspect ya tax avoidance ?
Kosa moja haliondoi kazi maelfu walizofanya kihalali..... mfanyakazi mmoja kukosa uaminifu haiwezi futa uhalali wa kampuni kutenda haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…