Labda pesa kwenye akaunti. Tusubiri atupe majibuKigezo chako cha "maisha mazuri" ni kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda pesa kwenye akaunti. Tusubiri atupe majibuKigezo chako cha "maisha mazuri" ni kipi?
Tofautisha tax evasion, tax avoidance na tax fraud. Kukwepa kodi sio kosa ni kucheza na sheria tu ambayo ndio hasa kazi ya mshauri wa kodi.![]()
PwC tax scandal - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Hawa pwc , Delloite nk
Huwa tunawashabikia ila mimi huwa sometimes nawaangalia Kwa angle tofauti , nawaonea kama magenge ya kimafia yanayowezesha ukwepaji kodi duniani , hizo tax heaven kama Cayman Island, Cyprus , British virgin land ,Bermuda ,seychelles , Switzerland nk
Unafikiri nani anahusika nazo kama sio hao wahuni
Hawa ndio wajenzi wa mifumo ya ukwepaji kodi na wanaitengeneza na kuiuza kwa makampuni ya kimataifa
Unaelewa kitu kinaitwa kukwepa Kodi, na Kuepuka Kodi?Tofautisha tax evasion, tax avoidance na tax fraud. Kukwepa kodi sio kosa ni kucheza na sheria tu ambayo ndio hasa kazi ya mshauri wa kodi.
Ni kama tu wanasheria wanavyolinda maslahi ya mteja hata kama ameua huwezi sema ni mafia. Mfano ukiwa listed DSE basi kodi inapunguzwa by 5% so PwC anaweza advise uwe listed ili ulipe less in corporate tax sasa hapo umafia kivipi?
Mfano huo- anapata research grants sh ngapi?
-kwa hiyo Maprofesa wanasubiri Mo afungue kiwanda ndiyo wapate pesa?
-
- mimi ninachojua vyuovikuu Huwa wanatengewa bajeti ya Research ambayo ni pesa ndogo sana hadi Maprofesa wanalalamika kwamba wanapewa pesa kidogo
Unamjua professor Luoga aliyekua gavana BOT alikua ndio mshauri wa kodi Vodacom so aliwapa mianya yote ya kodi zipi za ku avoid mbona hamkumuita mafia? Ni sawa na kuita mawakili ni mafias kisa kutetea majambazi!!Unaelewa kitu kinaitwa kukwepa Kodi, na Kuepuka Kodi?
Vipi paramagamba kabudiProfessor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.
Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
-mimi nimekuuliza swali umeshindwa kujibu,Unamjua professor Luoga aliyekua gavana BOT alikua ndio mshauri wa kodi Vodacom so aliwapa mianya yote ya kodi zipi za ku avoid mbona hamkumuita mafia? Ni sawa na kuita mawakili ni mafias kisa kutetea majambazi!!
Vipi paramagamba kabudi
Elimu muhimu sana..hao unaowaona wa maana ni sababu ya social media ambazo zimeanzishwa na wasomi hao hao...Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Wapi nimesema mie lecturer, sina PhD mimi nafundisha tena undergraduate tu.Halafu unajinasibu kuwa wewe ni Lecturer
Kukwepa kodi ni tax evasion ila kuepuka kodi ni tax avoidance ambayo ni halali kisheria sababu unapunguza eligible taxable income as per your tax bracketmimi nimekuuliza swali umeshindwa kujibu,
Kuepuka Kodi na kukwepa Kodi, umeshindwa kujibu
Umesoma lakini hiyo scandal na ukaelewa criminal involvement ya pwc kwenye hilo sakata wewe ?Tofautisha tax evasion, tax avoidance na tax fraud. Kukwepa kodi sio kosa ni kucheza na sheria tu ambayo ndio hasa kazi ya mshauri wa kodi.
Ni kama tu wanasheria wanavyolinda maslahi ya mteja hata kama ameua huwezi sema ni mafia. Mfano ukiwa listed DSE basi kodi inapunguzwa by 5% so PwC anaweza advise uwe listed ili ulipe less in corporate tax sasa hapo umafia kivipi?
Haya makampuni ni criminal cartels , ni kwamba tu kuna watu wakubwa duniani ni wamiliki wa hisa kwenye hayo mashirika na ndio wanayakingia kifua ili yaendelee kufanya huo umafia wanaofanya ,Tofautisha tax evasion, tax avoidance na tax fraud. Kukwepa kodi sio kosa ni kucheza na sheria tu ambayo ndio hasa kazi ya mshauri wa kodi.
Ni kama tu wanasheria wanavyolinda maslahi ya mteja hata kama ameua huwezi sema ni mafia. Mfano ukiwa listed DSE basi kodi inapunguzwa by 5% so PwC anaweza advise uwe listed ili ulipe less in corporate tax sasa hapo umafia kivipi?
Sasa wewe hiyo scandal ya pwc kule Australia Kwa akili yako unaona inaingia kwenye aspect ya tax avoidance ?Wapi nimesema mie lecturer, sina PhD mimi nafundisha tena undergraduate tu.
Kukwepa kodi ni tax evasion ila kuepuka kodi ni tax avoidance ambayo ni halali kisheria sababu unapunguza eligible taxable income as per your tax bracket
- kwani ili uwe Lecturer lazima uwe na PhD? Hata ukiwa na masters tu unaweza kuwa Lecturer provided that una experience ya kutoshaWapi nimesema mie lecturer, sina PhD mimi nafundisha tena undergraduate tu.
Kukwepa kodi ni tax evasion ila kuepuka kodi ni tax avoidance ambayo ni halali kisheria sababu unapunguza eligible taxable income as per your tax bracket
Sio rahisi hivyo, utakua assistant lecturer kwa muda mrefu sana but ukiwa na PhD hata kama utafundisha miaka michache utapata tu U-lecturer.kwani ili uwe Lecturer lazima uwe na PhD? Hata ukiwa na masters tu unaweza kuwa Lecturer provided that una experience ya kutosha
Kosa moja haliondoi kazi maelfu walizofanya kihalali..... mfanyakazi mmoja kukosa uaminifu haiwezi futa uhalali wa kampuni kutenda haki.Sasa wewe hiyo scandal ya pwc kule Australia Kwa akili yako unaona inaingia kwenye aspect ya tax avoidance ?