Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
fest yia umekutana na rungu la maprofesa kwenye test 1 ukaamua uje uwafungulie sredi ya udhalilishaji.Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Kwa nini unaamini hivyo? Umewahi kuona jinsi Prof anavyoishi? Ukalinganisha na Manara?Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Kuna kozi nyingine miyeyusho kweli eti politiko sayansi,halaf wanasiasa wenyewe ndo wakina babu tale😁Ila Maprofesa wa Medicine wengi Wana hela aisee, hata salary scales zao ni kubwa kuliko Maprofesa wa politiko science, sociology,nk
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Maisha yenye staha, nahisi hivyoUna maanisha nini unaposema Maisha decent?
Maisha yenye staha, nahisi hivyo
Yani kupitia ur comment, inaonesha wazi the lowest the level of Logic ambayo ipo kwenye kichwa chako1. Kwanza ume-declare interest wewe ni mtoto wa Professor nchini, japo ni jambo zuri lakini linafanya uwe biased kwenye analysis yako.
2. Nchini, hakuna Professor anayelipwa kwa kuingia darasani zaidi ni fixed salary ambayo GROSS haizidi 6m TZS (kabla ya makato kibao=Pension fund, Health Insurance, PAYE, workers union etc), unless iwe ni part-time (anayolipwa kwa saa = 60,000/= TSH) sasa ukilinganisha hiyo amount na endorsement za Manara utaona Professor anapunjwa ukilinganisha na kisomo (academic qualifications na work experience vs Ngomaru Manara/Zembwela/Steve Nyerere).
3.......
Tena inabidi ashukuru sana saivi sup zinafanyikia Main Campus na sio Freedom Square kama kipindi cha nyumaSup SUA kawaida usichukie professa.
Nini tafsiri fasaha kuhusu maisha mazuri?Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Hizo tafiti zinakua za World Bank, mfano mama Samia anapokwambia kuna mradi A au B unatafuta mkopo kuna maprofessor wamefanya usanifu mradi ili wapate funding so kama mradi ni wa billion 200 hao jamaa wanaweza vuta almost 10% nzima.Hizo laki tatu ni kwa vyuo hivi kama Extended High school,udom,sua nk?
Sample ya watu wawili haitoshi kuhalalisha jambo. Hata ulaya kuna wacheza mpira wanalipwa kuliko professors ila ukichukua average ya wafanyakazi wote vs professors utaona hao professors make more pia wanatengeneza value kwenye jamii zaidi kupitia tafiti, ufumbuzi. Sasa cha ajabu wabongo mnadhani umuhimu wa kitu ni kisa malipo tu, yaani ni sawa na kusema wanajeshi hawana hela ndio wachekwe ilihali kazi wanayofanya pengine ni kubwa kuliko yoyote hapa nchini.wapi mimi nimesema la saba wote? Mimi nazungumzia kina zembwela Niko specifically, ambao kimsingi Wana pesa kiwazidi Maprofesa
Sasa huyo zembwela specifically mfananishe na Dk Neem Mduma wa pale Nelson Mandela kapitie page yake uone research grants anazopata. Hizo sio za faculty ni za kuandaa terms of references, kufanya baselines surveys, midline and endline evaluation etc na ni za kampuni binafsi na serikali sio za chuo kikuu. Mfano Mo Energy ikitaka kufungua kiwanda Zambia walioandaa mchoro wote wa kiuchumi na kifedha ni maprofessor na hao wanapewa zaidi ya billion hata 1 kufanya hiyo kazi pekee.hizo consultancy fees sio za mtu mmoja ni za department au faculty unaweza kukuta faculty nz
Sample ya watu wawili ni ndogo, haya Lete sample ya hao Maprofesa wenye utajiriSample ya watu wawili haitoshi kuhalalisha jambo. Hata ulaya kuna wacheza mpira wanalipwa kuliko professors ila ukichukua average ya wafanyakazi wote vs professors utaona hao professors make more pia wanatengeneza value kwenye jamii zaidi kupitia tafiti, ufumbuzi. Sasa cha ajabu wabongo mnadhani umuhimu wa kitu ni kisa malipo tu, yaani ni sawa na kusema wanajeshi hawana hela ndio wachekwe ilihali kazi wanayofanya pengine ni kubwa kuliko yoyote hapa nchini.
- anapata research grants sh ngapi?Sasa huyo zembwela specifically mfananishe na Dk Neem Mduma wa pale Nelson Mandela kapitie page yake uone research grants anazopata. Hizo sio za faculty ni za kuandaa terms of references, kufanya baselines surveys, midline and endline evaluation etc na ni za kampuni binafsi na serikali sio za chuo kikuu. Mfano Mo Energy ikitaka kufungua kiwanda Zambia walioandaa mchoro wote wa kiuchumi na kifedha ni maprofessor na hao wanapewa zaidi ya billion hata 1 kufanya hiyo kazi pekee.
Kasome taarifa mkuu hizo consultancy fees ni zaidi ya hizo brand campaigns za kina manara.
Ukitaka kupata picha chukua industry nzima sio kamtu kamoja kukashifu academicians wote, its weird. Yaani marketing officers wote bongo vs professors wote bongo utagundua picha kubwa zaidi.Sample ya watu wawili ni ndogo, haya Lete sample ya hao Maprofesa wenye utajiri
Umehama kwenye pesa umeenda kwenye value au sio
-yani wachukue 10% ya pesa ya mradi huo ni Uongo, haiingii akilini hakuna donor atakubali kulipa consultant 10% ya pesa ya kupeleka kwenye miradi yaoHizo tafiti zinakua za World Bank, mfano mama Samia anapokwambia kuna mradi A au B unatafuta mkopo kuna maprofessor wamefanya usanifu mradi ili wapate funding so kama mradi ni wa billion 200 hao jamaa wanaweza vuta almost 10% nzima.
Na kufanya tafiti kwa ma professor ni kama tu mpoki kuwa MC kwenye maharusi. Mtu anafanya tafiti ziko funded hata 5 kwa mwaka unakuta zote hizo zina research grants za Dollar elfu 60 each.
Na hiki nachosema ni kwa 80% ya maprofesa sio kama hao zembwela ni selected few ila most of media personnel wanalipwa hela ndogo sana na hili liko wazi.
Ni ajabu sana unataja darasa la 7 watano ndio wana reflect mafanikio ya wasiosoma lakini wapo darasa la 7 wengi tu na zaidi ya 90% yao wanaishi chini ya dollar 1 kwa siku. Kaangalie takwimu za Sensa zilizotoka, kuna connection kati ya kipato cha mtu na level ya elimu na hata duniani ukichukua nchi zenye wasomi wengi hata GDP zao ni kubwa kuliko nchi zilizo na illiterates wengi.
Tuache illusions hata ripoti ya CAG kaangalie maposho wanaolipana hao maprofessor kufanya upembuzi yakinifu ni mabilion mpaka unaweza fikiri utani. Sasa niambie darasa la saba gani anaweza kupewa huo upembuzi yakinifu.
Narudia average standard 7 or business man in Tanzania is less likely to have more money than an average professor.
Kila siku kuna biashara zinafunguliwa, miradi inaanzishwa na consultants ni hao hao pool ya watu hata 500 nchi nzima. Hiyo industry ya Consultancy ina zaidi ya USD 250 BIllion globally yaani zaidi ya Trillion 700 kila mwaka inalipwa kwa wasanifu miradi, watoa ushauri wa kibiashara n.k sasa hiyo industry sio ndogo mkuu na huko hakuna la saba ni PhDs tu zinaongea ambazo pia ni chache sasa hao unawaitaje maskini? Hakuna professor anategemea kufundisha wengi pesa zao ni kwenye consultancy ndio kuna hela. Mfano kina Dr marobhe wa pale TIA kwa mwaka hakosi USD 2 million kwenye consultancy pekee sasa unasemaje ni maskini, na anafanya za huko Ulaya wapi.kwa hiyo Maprofesa wanasubiri Mo afungue kiwanda ndiyo wapate pesa?
Kumbe hujui!!! Sasa ndio nakufundisha leo mtu ukiandaa andiko la mradi then pesa ikapatikana you are entitled to 10% hizo hata huku uswahili ndio tuna charge. Kila mradi naoandikia uki tick tu napewa 10%. Ndio maana nikasema huna taarifa unaongea tu hata hujui hii miradi inaandaliwaje!!yani wachukue 10% ya pesa ya mradi huo ni Uongo, haiingii akilini hakuna donor atakubali kulipa consultant 10% ya
Ndio wanaingiza hiyo pesa na zaidi, najua nachoongea maana huwa naona wanavyovuta huo mpunga huku tusio na hizo title kubwa tunaambulia makombo tu.kwa hiyo unataka kusema profesa anapata project za dola 6 mara 5 Kila mwaka? Ukimaanisha kwamba Maprofesa wanaingiza zaidi ya million 600 kwa mwaka? Wangekuwa hivyo wasingekubali teuzi
Ya 2020/21 kasome CAG anapolalamika bodi ambazo 70% ni title za Doctor/Professors wanalipwa mabilion kwa vikao vichache sana. Specifically alitoa mfano wa bodi kama ya TASAC walilipana billions kwa vikao vitatu pekee!! hao kina Mpoki vikao gani watalipwa posho hiyo?ni Ripoti ya mwaka gani ya CAG inayoonesha jinsi Maprofesa wanavyolipana maposho makubwa nitajie nikaisome
-kwani kufungua biashara lazima umuweke profesa ndio awe mshauri ? Hadi wenye CPA na MBA wanafanya hizo kaziKila siku kuna biashara zinafunguliwa, miradi inaanzishwa na consultants ni hao hao pool ya watu hata 500 nchi nzima. Hiyo industry ya Consultancy ina zaidi ya USD 250 BIllion globally yaani zaidi ya Trillion 700 kila mwaka inalipwa kwa wasanifu miradi, watoa ushauri wa kibiashara n.k sasa hiyo industry sio ndogo mkuu na huko hakuna la saba ni PhDs tu zinaongea ambazo pia ni chache sasa hao unawaitaje maskini? Hakuna professor anategemea kufundisha wengi pesa zao ni kwenye consultancy ndio kuna hela. Mfano kina Dr marobhe wa pale TIA kwa mwaka hakosi USD 2 million kwenye consultancy pekee sasa unasemaje ni maskini, na anafanya za huko Ulaya wapi.
Ilani za CCM sijui chadema zinaandikwa na hao hao professors na wanalipwa billions, katiba, iwe kufungua idara mpya ya serikali, consultation zote ni professors watupu. Come on bro if you have no information kafuatilie sio unatumia limited knowledge kujengea hoja.