-Kuhusu hoja ya kwamba makampuni yanatoza Dola laki2 kwa kazi ya kuandaa questionnaire za makampuni kama crdb ni Uongo, nabisha, faida ya crdb kwa mwaka ni bilioni bilioni 350 kwa mwaka 2022, haiwezekani walipe bilioni 400 (haiingii akilini it's illogical kabisa)kwa pwc kwa ajili ya kuandaa questionnaire, otherwise Lete audited financial statement inayoonesha hilo la matumizi ya bilioni 400 kwa ajili ya kuandaa questionnaire
-sawa hawawezi kulipa milioni3/ au 2 lakini hawalipi hayo mapesa uliyosema awali ya kina Dr wa TIA yule ni Uongo.
- kuhusu rafiki yako wa TRAB, ulisema hapo awali kwamba Kuna hadi kampuni za Tanzania anazifanyia auditing, naona Sasa baada ya kukubali hoja yangu umesema ni za Nchi za nje
-kuhusu bodi za mashirika ya Umma ni kwamba, hao Maprofesa wengi huteuliwa kuwa wenyeviti wa bodi hizo, lakini ukichambua idadi ya wajumbe wa bodi profesa ni mmoja
-unaposema kazi ya siku6 kwa milioni 60, maana yake amefanya kazi masaa zaidi ya 40 na kupata hiyo 60m, ukifanya hesabu za uwiano utagundua Mpoki aliyefanya show ya uMC kwa masaa matatu kwa 10M ndiye kapata pesa nyingi
-kuhusu hao marafiki zako ambao ni election observors, uchaguzi Huwa unafanyika mara ngapi? Kwa hiyo hizo pesa walizopata tangu 2020 Mpaka Leo wanazo? Kwa hiyo kazi yao wao ni kusubiri Uchaguzi Mkuu wapate hizo hela si ndio? Halafu uwalinganishe na Mpoki Mwenye kazi nyingi hapa Mjini kuanzia kwenye utangazaji,Comedy,ubalozi wa makampuni mbalimbali nk
-