Level ya elimu ya PhD ndio level pekee huwez kumkuta mtu anaranda randa mtaani hana mchongo. Watu wanaongea tu hapa Mtu kama Mukandara amestaafu lakini bado anamochongo kibao na hata gari anayoendesha ni ndoto ya zembwela kuimiliki, hawa jamaa wana demoralize tu vijana wasisome , makampuni makubwa duniani especially haya ya technology viongozi wale wa juu ni PhD holders na ndio mana wanafanya ma research mengi yanayokuja kuleta positive impact kwenye technology ya sasa, yan uje uniambie professor wa MIT anaish maisha mabovu kuzid Zembwela aaah hii mimi siwez kukubali hata siku moja…