Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

Ni sawa kwako kuona hivyo na ni sawa kwetu wengine kuona sio sawa pia.
Naam Kila zqma na kitabu chake ...haya mambo ukiwayachulupia siriasi" utakomda bureee! WatanzanIa wapiga kura ndiO Hawa Hawa wanaomshangilia Makonda,
 
Mkuu, hao watu wanategemeana. Haya ni maandalizi ya kampeni, kila mmoja anajitahidi kutumia nafasi yake kupata ushawishi kutoka kwa mwenzie.

Wasanii nchi hii ni turufu kwa wanasiasa wakati wa kampeni, huku wasanii nao wakivuna kupitia kampeni,
Sasa kwanini wasitafute njia zingine za 'kuwahonga'?

Wawape tu hata hela badala ya kuharibu maana nzima ya ziara za kirais nchi za nje

Unaenda Korea na Steve Nyerere wa kazi gani badala ya kwenda hata na mzee Sanga mkulima wa parachichi Njombe angalau atatafsiriwa ataelewa masoko na mahitaji ya maandalizi ya parachichi kabla halijawa exported, Steve ataleta tija gani kwa Taifa?
 
Sasa si ndio hayohayo Mkuu?

Lakini ujue, suala la Rais kusafiri na wasanii wala halina ubaya. Tatizo tu ni kwamba kwenye hiyo tasnia wamejaa vilaza hata semina watakazozipata huko ni kazi bure.
 
Hii ziara si anaenda kusaini mikataba ya madini na kupatiwa 2.5b usd?

Kaazi kweli kweli.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Umeona wivu mleta mada kauza nini?
 
Huyu kijana wa Prof Kilonzo hawezi kufanya hivyoninamjua fika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…