Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

Ila huyu bibi tumekula hasara kama taifa
Kwenda na wasanii kuna shida gani? Korea iko nafasi ya juu kimaigizo sasa hivi, ni vyema kwenda nao wakajifunze.

Lengo ni zuri ila wahusika ndio hamna kitu, hakuna watakachoambulia maana sanaa wanaifanya kwa mazoea sio kama hao walioenda kujifunza kwao.
 
Kwahiyo wasanii huko nje wanaenda kufanya nini na rais kuigiza au? Yani tumekuwa washenzi kukubali kuongozwa na huyu maza
 
Mama Samia anataka mwenyewe kujiingiza kwenye matatizo baada ya mafanikio aliyoyapata kwa kuchagua kushirikiana na watu waovu na wachafu katika mambo yake mema.
Wasanii wa matusi matusi wala hawatamsaidia kitu badala yake watamtia matatizoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…