Zengwe zito uchaguzi TFF

Zengwe zito uchaguzi TFF

PCCB unganisheni na hawa pimbi wanaojiita kamati ya uchaguzi wapeleka aliko malinzi na katibu wake!

Hivi Nini maana ya usaili/interview???
 
lakini mkuu tunaambiwa hawa jamaa wamepiga mpaka fedha tulizochanga a kuwapeleka serengeti Gabon,pia kuna maswala ya kufoji.

Mkuu hivi hao Serengeti Boys kwani walikwama kuondoka nchini au kukosa nauri ya kirudi? hawakulala kwenye Hoteli yenye hadhi au kupewa three course meals? Tuna uhakika gani kma Malinzi na wenzake walishindwa ku-accout fedha zilivyo tumika, narudia kwamba simtetei Malinzi tuwe wakweli linapokuja suala la uchanguzi wa Viongozi wa TFF ujitokesa majungu, fitina na mizengwe lukuki tusishangae ya Malizi na kundi lake, hata Tenga mabo yalikuwa ni haya haya mara kuwekeana pingamizi, mara fedha zilikuwa misappropriated mara... ujinga mtupu - we angalia mambo ya usanii yanayo endelea TFF utasikia amekwisha teuliwa mtu wa kukahimu nafasi ya malizi, mara malizi hasirudi hapa kwa kuwa anatuhumiwa wanayesma hayo hata kabla ya hakimu kusema chochote wako overly concern kumuondoa Malinzi basi sa if wakiteuliwa wao ndio wataleta mabariko ya kweli ya kandanda nchini - usanii tu ndiyo unaendelea hapa - mawazo yao yote yapo kuwania ukwapuaji tu.
 
Dah!! Jinai haina muda mkuu. Ni wakati wowote mshtaki akijiridhisha unakwenda
ni kweli mkuu,ndiyo maana akina Matandika walisha fanyiwa kazi kitambo,isengewezekama kumshughulikia Matandika ambaye alikuwa hana cheo chochote TFF zaidi ya kuwa kibaraka wa Malinzi
 
PCCB unganisheni na hawa pimbi wanaojiita kamati ya uchaguzi wapeleka aliko malinzi na katibu wake!

Hivi Nini maana ya usaili/interview???
mkuu hii kamati kumbe ilishapangwa na hawa wahuni akina Shomile
 
Lakini.sababu si inafahamika jamaa wapo mahabusu.hawakuwepo kwa kupenda.na wale si wakosefu.ni watuhumiwa.
 
mkuu wale vijana wa serengeti boys hawajapewa stahiki zao mpaka leo
Angalia yule nahodha anajitibia mwenyewe mguu ambao kaumia akiwa na timu ya Taifa
nilimsikia mwesiga anasema zile pesa walienda kulipia deni wanalodaiwa na TRA ,ndiyo maana hawakuwapa stahiki zao wachezaji
Mkuu hivi hao Serengeti Boys kwani walikwama kuondoka nchini au kukosa nauri ya kirudi? hawakulala kwenye Hoteli yenye hadhi au kupewa three course meals? Tuna uhakika gani kma Malinzi na wenzake walishindwa ku-accout fedha zilivyo tumika, narudia kwamba simtetei Malinzi tuwe wakweli linapokuja suala la uchanguzi wa Viongozi wa TFF ujitokesa majungu, fitina na mizengwe lukuki tusishangae ya Malizi na kundi lake, hata Tenga mabo yalikuwa ni haya haya mara kuwekeana pingamizi, mara fedha zilikuwa misappropriated mara... ujinga mtupu - we angalia mambo ya usanii yanayo endelea TFF utasikia amekwisha teuliwa mtu wa kukahimu nafasi ya malizi, mara malizi hasirudi hapa kwa kuwa anatuhumiwa wanayesma hayo hata kabla ya hakimu kusema chochote wako overly concern kumuondoa Malinzi basi sa if wakiteuliwa wao ndio wataleta mabariko ya kweli ya kandanda nchini - usanii tu ndiyo unaendelea hapa - mawazo yao yote yapo kuwania ukwapuaji tu.
 
Lakini.sababu si inafahamika jamaa wapo mahabusu.hawakuwepo kwa kupenda.na wale si wakosefu.ni watuhumiwa.
mwenyekiti anasema ,kuwa mahabusu hayo ni maswala yao binafsi ,kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na sababu ya watu kupoteza fedha na muda kuja kwenye usaili kutoka mikoani wangetuma tu nyaraka zao
 
Hivi wajumbe wa FIFA walishafika? kuna lolote wameongea?
Alfred Lucas anasema FIFA wanakuja wiki ijayo ili kujua sababu ,watakuwa na vikao na hao wazushi wa TFF na kamati zake karibu wiki nzima
 
mwenyekiti anasema ,kuwa mahabusu hayo ni maswala yao binafsi ,kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na sababu ya watu kupoteza fedha na muda kuja kwenye usaili kutoka mikoani wangetuma tu nyaraka zao
Lakini katiba,haibainishi wazi,mtu asipokuja kivipi.
Kaamua tu kutokuja ama hata kama ana matatizo na kamati inajua huyo mtu atakuwa kajitoa.
 
Kwahiyo mtu anafoji na kuiba pesa huku soka tunazidi kushuka kiwango wewe unaona sawa tu?nadhani wewe ulijui soka na hata huna uchungu nalo utakuwa mshabiki wa bongo flava huku sio kwako mkuu.

Zungumza maneno yenye hekima, lugha zako za vijiweni speaks volume kuhusu tabia zako, labda nikulize swali dogo:Hivi tangu Serikali ya awamu ya kwanza iondoke madarakani unaweza kunipatia takwimu ni lini Tanzania ilifanikiwa kuleta kikombe cha ushindi nchini? Eti kafoji sijui nini ndiyo maana kiwango cha mpira nchini kimeshuka, tangu lina kiwango cha mpira kikapanda nchini - lini? Kiala siku magazeti yamejaa taarifa za infight ndani ya taasisi ya TFF wanagombania ukwapuaji majungu, fitina na tuhuma zisizo kuwa na kichwa wala miguu, nimewahoji tuna uhakika gani kama fedha za FIFA zimeliwa kweli - je wakija FIFA wenyewe wakasema fedha zao zimetumika vizuri nyinyi mtasema nini? Bila shaka mnajua hoja yangu ina mshiko ndiyo maana mnakuja na hoja mbadala eti Malinzi na kundi lake wametumia vibaya michango ya Serengeti, sijui Malinzi na kundi lake wameforge nini - lawama na madai chungu mzima, mnayesema hayo wakati hamjui mahakama itasema nini kuhusu tuhuma hizo.
 
Hii kamati inachaguliwa na Nani???
 
Wajumbe wamehongwa,
Kimsingi wanachofanya ni ili usaili uhairishwe ili ukifanyika siku ingine uweze kuwa -accommodate kina Malinzi,
PCCB wawadake hao wajumbe waeleze why wanataka kupindisha sheria,
Wakiwadaka tu ndio watakuwa wamewaalika fifa
 
Lakini katiba,haibainishi wazi,mtu asipokuja kivipi.
Kaamua tu kutokuja ama hata kama ana matatizo na kamati inajua huyo mtu atakuwa kajitoa.
mwenyekiti kasema katiba inatambua mtu akiwa na dharula ,yeye akasema dharula ni pale ambapo kafika kwenye usaili akaumwa ghafla ,lakini la kuwekwa selo hilo si dharula ni lao binafsi
 
Back
Top Bottom