Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 972
Waliowakamata washugulike na hao wajumbe pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini mkuu tunaambiwa hawa jamaa wamepiga mpaka fedha tulizochanga a kuwapeleka serengeti Gabon,pia kuna maswala ya kufoji.
ni kweli mkuu,ndiyo maana akina Matandika walisha fanyiwa kazi kitambo,isengewezekama kumshughulikia Matandika ambaye alikuwa hana cheo chochote TFF zaidi ya kuwa kibaraka wa MalinziDah!! Jinai haina muda mkuu. Ni wakati wowote mshtaki akijiridhisha unakwenda
Mkuu hivi hao Serengeti Boys kwani walikwama kuondoka nchini au kukosa nauri ya kirudi? hawakulala kwenye Hoteli yenye hadhi au kupewa three course meals? Tuna uhakika gani kma Malinzi na wenzake walishindwa ku-accout fedha zilivyo tumika, narudia kwamba simtetei Malinzi tuwe wakweli linapokuja suala la uchanguzi wa Viongozi wa TFF ujitokesa majungu, fitina na mizengwe lukuki tusishangae ya Malizi na kundi lake, hata Tenga mabo yalikuwa ni haya haya mara kuwekeana pingamizi, mara fedha zilikuwa misappropriated mara... ujinga mtupu - we angalia mambo ya usanii yanayo endelea TFF utasikia amekwisha teuliwa mtu wa kukahimu nafasi ya malizi, mara malizi hasirudi hapa kwa kuwa anatuhumiwa wanayesma hayo hata kabla ya hakimu kusema chochote wako overly concern kumuondoa Malinzi basi sa if wakiteuliwa wao ndio wataleta mabariko ya kweli ya kandanda nchini - usanii tu ndiyo unaendelea hapa - mawazo yao yote yapo kuwania ukwapuaji tu.
mwenyekiti anasema ,kuwa mahabusu hayo ni maswala yao binafsi ,kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na sababu ya watu kupoteza fedha na muda kuja kwenye usaili kutoka mikoani wangetuma tu nyaraka zaoLakini.sababu si inafahamika jamaa wapo mahabusu.hawakuwepo kwa kupenda.na wale si wakosefu.ni watuhumiwa.
Hata mimi nahisi hivyo mkuumkuu inaonesha kuna fedha zisizokuwa na mwenyewe
Lakini katiba,haibainishi wazi,mtu asipokuja kivipi.mwenyekiti anasema ,kuwa mahabusu hayo ni maswala yao binafsi ,kama ingekuwa hivyo kusingekuwa na sababu ya watu kupoteza fedha na muda kuja kwenye usaili kutoka mikoani wangetuma tu nyaraka zao
Kwahiyo mtu anafoji na kuiba pesa huku soka tunazidi kushuka kiwango wewe unaona sawa tu?nadhani wewe ulijui soka na hata huna uchungu nalo utakuwa mshabiki wa bongo flava huku sio kwako mkuu.
Wakiwadaka tu ndio watakuwa wamewaalika fifaWajumbe wamehongwa,
Kimsingi wanachofanya ni ili usaili uhairishwe ili ukifanyika siku ingine uweze kuwa -accommodate kina Malinzi,
PCCB wawadake hao wajumbe waeleze why wanataka kupindisha sheria,
mwenyekiti kasema katiba inatambua mtu akiwa na dharula ,yeye akasema dharula ni pale ambapo kafika kwenye usaili akaumwa ghafla ,lakini la kuwekwa selo hilo si dharula ni lao binafsiLakini katiba,haibainishi wazi,mtu asipokuja kivipi.
Kaamua tu kutokuja ama hata kama ana matatizo na kamati inajua huyo mtu atakuwa kajitoa.