Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

Auaye kwa upanga atauawa kwa upanga.

Kitendo cha kutumia panga moja kukata watu mbali mbali,unaweza kueneza maradhi sugu kama ukimwi na Hepatitis B kwa watu wasio na hatia.

Kibaya zaidi wanaenda kuvamia familia maskini kama wao.
Wao kama wana maisha magumu,so waende kuvamia watu wanaowasababishia hayo maisha magumu?
Wanaendaje kwa maskini wenzao?
Kama wewe ni mdau wa hawa panya road utafikiwa muda si mrefu.

Wameonesha dharau kubwa kwa Rais kwa kuvamia siku moja tu baada ya Rais kuwaonya.Nguvu wanayotumia,wanapaswa kukabiliana na kubwa zaidi.Maana wanania ya kuua sio kupora tu
 
Huu ujumbe ni mfupi na wamaana sana.
Vile vitoto vinavyobebwa hamtaviona tena mitaani .
Watakaorudishwa mtaani ni wachache sana
 
Na leo sikukuu huko beach watakuja wa kutosha.
Watu watalia Sana . labda serikali ipeleke mgambo na jkt kwa Siri kulinda raia tena wasivae gwanda
 
Wangetengeneza masheria ka dharura wakikamatwa miaka mi 5 nda wapelekwe wakalime uko Dakawa......
 
Ila innocents wana haki ya kujeruhi raia na mali zao.....???

Sasa hao wanao wajeruhi na kuwapora mali zao wanahusika vipi na wao kukosa ajira......

Kama ni hasira juu ya ukosefu wa ajira ni vyema wakawakata mapanga watawala maana wanawajua walipo na familia zao.......

Wanachokifanya hawa vijana ni uhalifu na wanastahili adhabu sana....
 
Huyu ni kiazi aka kilaza

USSR
 
Hakuna kisingizio chochote unachoweza kuhalalisha mauaji nje ya sheria
Sheria inaruhusu kuuwa kwa ajili ya kujilinda dhidi ya mtu mwenye silaha.
 
Kwa akili za kitanzania sio rahisi kukuelewa hasa uwe na kadi ya ccm
 
Ndio hivyo mkuu tafuta njia nyingine ya kipato ukabaji sio deal hata yule unayemuibia na yeye anakula kwa jasho
 

mbona hata mimi sina ajira nimejaa madeni na nimetulia tu naendelea kutafuta fursa sijakamata Panga.

Nashindwa kuwafahamu hawa wanaowatetea. AU ni wazazi wao?
 
Mleta mada subiri ukatane nao hao innocent kids halafu urudi hapa jamvini kuwatetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…