SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Taifa chini ya Rais wa kwanza lilifeli kutengeneza Mfumo Endelevu kwenye KILIMO, likafanya kila mtu akimbilie Dar kutafuta maisha, baada ya kujazana na familia kutokuwa na maisha yanayoeleweka mwishowe ndo tumefikia hapa..
Ila PANYA-ROAD siyo watu wa kuonewa huruma japo SYSTEM ya nchi ndo imewazalisha.
Ila PANYA-ROAD siyo watu wa kuonewa huruma japo SYSTEM ya nchi ndo imewazalisha.