Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

Taifa chini ya Rais wa kwanza lilifeli kutengeneza Mfumo Endelevu kwenye KILIMO, likafanya kila mtu akimbilie Dar kutafuta maisha, baada ya kujazana na familia kutokuwa na maisha yanayoeleweka mwishowe ndo tumefikia hapa..

Ila PANYA-ROAD siyo watu wa kuonewa huruma japo SYSTEM ya nchi ndo imewazalisha.
 
I read all comments, unfortunately most of peoples are 🦁 by nature
 
Subiri siku hao innocent kids watakapo kutembelea, naomba uwape watakachotaka huku ukiongea kiingereza.... Mama koku mgammbire innocent kiidi twende bank.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…