ZERO TOLERANCE !!Serikali ya sasa haina haijaribiwi, Message ilikuwa sent and Delivered Mo29, Vijana mnaotaka kutoka andikeni Wosia

Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there

Kwa hiyo unahalalisha hayo MAUAJI .....!!
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
Look at pathetic peoples anajivunia yaliyotokea? Who said kaamba wanajaribu ? That was straight up genocide

Huwezi ipaka rangi kwa namna yoyote ile
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
Hamuwezi kuyazuia mafuriko kwa mikono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…