Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Mkuu Dodoma ndio serikali ipo huko,, Waziri mkuu huenda anarudi kuna shughuli za kitaifa zinamuhitaji huko.
 
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Naww manenoyako kama yanazurura hivi mara hasira mara ajabu mara Tanzania ndo yaajabu... Imeulizwa mbona anazurura hana uelekeo? Au kunastress? Mafuta tunaweka sisi ujue
 
usije kutusumbua kukuwekea dhamana shauri yako.
mwana kulitafuta mwana kuligeti
 
Hebu muache mheshimiwa rais amalizie kwaresima yake nyie wapagani mnaleta shida. Rais yuko kwenye mfunga wa kwaresima nyie na lucife wenu mnapiga kelele zisizo na staha. Rais ni chaguo la wananchi na wananchi ni sauti ya Mungu.
Huo mfungo wa kwaresma umeanza mwaka huu tu? Mbona kwaresma ipo miaka yote na haijawahi kutokea akapotea hewani kwa takribani wiki mbili. Sio kila anayehoji alipo Rais ni mhalifu bali wananchi wanataka kujua kiongozi wao alipo kwakuwa ni mtumishi wao wa umma namba moja.
 
Kumbe yeye akifunga ndo hawezi kwenda Kanisani?Kwenye mfungo ndo watu wanaenda sana Kanisani, yeye dini gani huyo?
 
Sasa mkuu unataka hata kama kuna dharura asirudi Ikuku? Atakuwa anakatishwa katishwa na Mama Samia!
 
giphy.gif
Hana uwezo wakugeuka hadi mwisho(kuzungusha shingo). Ana kawaida ya kunusa kifo huyo bundi hapo, japokuwa muda mwingine juu ya paa huwika naada yakushiba kitoeo chake panya. Hahahahaaaa
 
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Akili za binadamu ni kama maji tu. Huwa hayabadilishiwi njia/mkondo wake. Mlipowanyima watu uhuru wao wa kujieleza mkahisi mmewakomoa! Kumbe walikuwa wanatafuta njia za kupashana habari ambazo ndo hizi mmazolalamikia leo. Leo hata gazeti wala TV ya taifa watu hawaziamini tena. Zimegeuka VIKARAGOSI vya kusifia haya ndiyo matokeo yake
 
Rais anapiga Dose ya kupiga nyungu ngoja arudi atauwa mtu
 
Back
Top Bottom