data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Mhh... Huyu atakuwa hana habari kabisa na njia mpya..he is old school
Ww haujakaa iringa ukienda Dom unapita wapi wadhani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww haujakaa iringa ukienda Dom unapita wapi wadhani
Oh mara ikisemwa mara inasemekana sijui inasemwa sijui nini, blah blah tupu kama za mbelgiji Tundu.
Ahsante mkuu kwa taarifaNimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Magufuli kaonekana?
Kama hajaonekana na hakuna tangazo lolote la kueleweka usishangae hata Waziri Mkuu akidunda kama kitenesi.
Tarehe 14 mwezi March anatakiwa MBEYA na watu wameshajiandaaMsafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Bwasheee Muumba akupe maisha marefu majibu na maswali yako huwa yana nifikishaga sana!
Jumamosi njema bwasheee
😀 😀 😀 😀 AiseeYanakufikishaga kileleni?
Inaonyesha kuna tatizo kubwa mahala.Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Blah! Blah! Kwa kuwa Waziri Mkuu msafara wake juzi, jana na leo haukuonekana hapa Iringa!?Oh mara ikisemwa mara inasemekana sijui inasemwa sijui nini, blah blah tupu kama za mbelgiji Tundu.
Habari kuhusu nini!??Nilichogundua humu hakuna mweny taarifa kamili wote ni waganga wa jadi ni wapiga lamri tu
Wewe upo kila mahali,mithiri ya upepo!Niko hapa Mkimbizi mbona sijamuona?
Hukusoma comments wengine tukutane kwa mkapa wengine lugalo kumeumana wengine air port kuna ulinz mkali mwingine nimeongea na rafik yangu wazirHabari kuhusu nini!??
Kakatisha ziara? Hivi ni Nani huwa anawaongopea nyiePM kakatisha ziara, Rais ZnZ kasitisha shughuli gani sijui.!!
Yupo songweTarehe 14 mwezi March anatakiwa MBEYA na watu wameshajiandaa
Hebu muache mheshimiwa rais amalizie kwaresima yake nyie wapagani mnaleta shida. Rais yuko kwenye mfunga wa kwaresima nyie na lucife wenu mnapiga kelele zisizo na staha. Rais ni chaguo la wananchi na wananchi ni sauti ya Mungu.Anayesebabisha huo upumbavu ni huyo jamaa yenu anayejiita Jiwe na kuwaambia wenzie waache mavi nyumbani hadharani. The most stupid president ever!! Na hilo linalosemwa kama ni kweli basi na iwe hivyo.
Ni tag kesho akionekana huko kapita hapa Iringa akielekea DomYupo songwe
Tuendelee kujifukizaMsafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.