Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Alieanzisha iwe ya ajabu nani
 
JF imejaa matapeli ya kila aina wewe unajifanya unajuana na waziri shameful kabisa
Siyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sana
 
Haya sawa mkuu
 
Babu Tale ni darasa la saba ila anaongea na baraza zima la mawaziri.

Waziri kitu gani bhana!
 
Ingawaje sielewi maana yako, ila nadhani jibu lako limesaida kidogo kwani mimi niliposema kuongea na waziri ambaye tunajuana ikaonekana kama vile ni jambo la ajabu sana; yaani ninataka kujikweza kujifanya najuana na mawaziri wakati mtu yeyote anaweza kujuana na mawaziri. Kuna watu hapa JF akili zao ni fupi sana wanadhani hili ni jukwaa la kubishana badala ya kuwa jukwaa la kubadilishana mawazo na watu ambao katika mazingira ya kawaida huwezi kukutana nao
 
Hebu muache mheshimiwa rais amalizie kwaresima yake nyie wapagani mnaleta shida. Rais yuko kwenye mfunga wa kwaresima nyie na lucife wenu mnapiga kelele zisizo na staha. Rais ni chaguo la wananchi na wananchi ni sauti ya Mungu.

RAIS alitamka kuwa hafungi akiwa kanisani nwaka huu.
Namtakia afya njema .
 
Back
Top Bottom