Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
AmedhibitiwaKigogo sasa hivi kalala anapumzika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmedhibitiwaKigogo sasa hivi kalala anapumzika
Kasema saa ,9[emoji2732]Amedhibitiwa
Kesema nnKasema saa ,9[emoji2732]
Acha umbea rahisi atahutubiaKesema nn
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Anaongea uku analia kama vipi aende instaliveKunywa maji kwanza brother ....huu wakati wa kulia kwa wengine na kufurahi kwa wengine hivyo kua mpole mda utaongea.
Anaongea uku analia kama vipi aende instalive
kivipiAmedhibitiwa
AnakeeeeeeraAmedhibitiwa
Kweni siku zote ulikua hujui kama uongozi unatumiaga gharama? Kweni hujui kua hizo ndiyo kazi zao? Na si wao tu,hujui serikali zote zinaendesha kazi kwa gharama ya kodi? Unalipa kodi shingapi wewe? Hama nchi nenda pengine uone kama hutarudi hapa kamasi likikutoka na kuponda ulipokua umekimbilia, mnataka serikali imsikilize kila mtu katika watu milion60 imekua google hiyo?? Kwenda zako hukoSasa hapo unafiki upo wapi?
Au unadhani anatumia hela zake za mfukoni na siyo kodi yetu?
Hao waliopanga hiyo Ziara wanajua gharama za mafuta toka Njombe - Iringa mara sita?
Au hujui kama msafara ni gharama?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Namiliki kilinge cha uchawi ..kina washirikina 400 na ushee
Mawazo na comment zako tu ni za kichawi, au unataka upate certificate ya Uchawi.![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hv mkuu nikitaka kujifunza uchawi natakiwa nianzie wapi nifikie lengo?
Dunia ina watu waonevu sana,sijifunzi uchawi wa kumuonea mtu ila tu wale washenzi wakinionea tu nawafanya kitu hawajawahi ona Afrika Mashariki na ukanda mzima wa jangwa la Sahara
Yaani mtesi wangu nahaikisha anaona rangi zote
Hasira na mapovu ya nini? Aliyewaua yeye siyo watu na hawastahili kuishi? Ficha ujinga banaWewe utaishi milele sio
Mafanta
Ukiitwa ulete ushahid unao ndugu mbona watz tunakua roho mbaya kiasi hichi kumbuka nae anafamilia inamtegemeaAfadhali wanao ombea vifo, kuliko aliyesababisha vifo kibao na TAL chupuchupu kwa risasi za kumwaga. Kilangila.
Mhhhh aisee mbona jamaa ana roho mbaya sanaAnakeeeeeeraView attachment 1724948
Sijamtukana hata kama nmeongea kibaya anisamehe tu
Ameshakuomba msamaha kichuguuSiyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sana
Kasesela nimemuacha pale mabanda ya CCM anakunywa supu ya utumbo wa nguruwe.
Ukiitwa ulete ushahid unao ndugu mbona watz tunakua roho mbaya kiasi hichi kumbuka nae anafamilia inamtegemea