mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
Kusema ukweli hadi hapa , Mh Rais ni wa kuombewa.. inavyo onekana yamkini afya yake haipo vizuri.
Naamini kwa ugonjwa wowote, Mungu atampa afya na ataendelea na majukumu yake
Jirani kakugongea usiku huu wa manane ?Hahahaha nimecheka hadi jirani kanigongea namsumbua
Mkuu usimtukane usiyemjua, huyu mtu hata hulingani nae walaJF imejaa matapeli ya kila aina wewe unajifanya unajuana na waziri shameful kabisa
Mkuu usimtukane usiyemjua, huyu mtu hata hulingani nae wala
Kasemaje?Tundu lisu kakiwasha uko now
NdioJirani kakugongea usiku huu wa manane ?
Mavingereza magumu tu ila kuna maneno kama funeralKasemaje?
Sijamtukana hata kama nmeongea kibaya anisamehe tuMkuu usimtukane usiyemjua, huyu mtu hata hulingani nae wala
Mwambie sorry 🙏 tu yaishe huo ndio Ubinadamu, huyo ni. Mtu mzima na ni msomi tu anayejitambuaSijamtukana hata kama nmeongea kibaya anisamehe tu
Huyo jirani ni jike au?Ndio
Kaposti usiku huu au?Mavingereza magumu tu ila kuna maneno kama funeral
Alieanzisha iwe ya ajabu naniHivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
Siyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sanaJF imejaa matapeli ya kila aina wewe unajifanya unajuana na waziri shameful kabisa
Nilichogundua humu hakuna mweny taarifa kamili wote ni waganga wa jadi ni wapiga lamri tu
So tuunamuongezea muda au tunazika kwanza?Watu mnajipa matumaini na story za kijinga sana[emoji23] Yaan azunguke Dodoma ili nini?
Kiufupi utoto umekujaa
Ndiyo usiku huuKaposti usiku huu au?
Haya sawa mkuuSiyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sana
Babu Tale ni darasa la saba ila anaongea na baraza zima la mawaziri.Siyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sana
Ingawaje sielewi maana yako, ila nadhani jibu lako limesaida kidogo kwani mimi niliposema kuongea na waziri ambaye tunajuana ikaonekana kama vile ni jambo la ajabu sana; yaani ninataka kujikweza kujifanya najuana na mawaziri wakati mtu yeyote anaweza kujuana na mawaziri. Kuna watu hapa JF akili zao ni fupi sana wanadhani hili ni jukwaa la kubishana badala ya kuwa jukwaa la kubadilishana mawazo na watu ambao katika mazingira ya kawaida huwezi kukutana naoBabu Tale ni darasa la saba ila anaongea na baraza zima la mawaziri.
Waziri kitu gani bhana!
Hebu muache mheshimiwa rais amalizie kwaresima yake nyie wapagani mnaleta shida. Rais yuko kwenye mfunga wa kwaresima nyie na lucife wenu mnapiga kelele zisizo na staha. Rais ni chaguo la wananchi na wananchi ni sauti ya Mungu.