Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Kunywa maji kwanza brother ....huu wakati wa kulia kwa wengine na kufurahi kwa wengine hivyo kua mpole muda utaongea.
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.
 
Sasa hapo unafiki upo wapi?

Au unadhani anatumia hela zake za mfukoni na siyo kodi yetu?

Hao waliopanga hiyo Ziara wanajua gharama za mafuta toka Njombe - Iringa mara sita?

Au hujui kama msafara ni gharama?
Kweni siku zote ulikua hujui kama uongozi unatumiaga gharama? Kweni hujui kua hizo ndiyo kazi zao? Na si wao tu,hujui serikali zote zinaendesha kazi kwa gharama ya kodi? Unalipa kodi shingapi wewe? Hama nchi nenda pengine uone kama hutarudi hapa kamasi likikutoka na kuponda ulipokua umekimbilia, mnataka serikali imsikilize kila mtu katika watu milion60 imekua google hiyo?? Kwenda zako huko
 
Namiliki kilinge cha uchawi ..kina washirikina 400 na ushee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hv mkuu nikitaka kujifunza uchawi natakiwa nianzie wapi nifikie lengo?

Dunia ina watu waonevu sana,sijifunzi uchawi wa kumuonea mtu ila tu wale washenzi wakinionea tu nawafanya kitu hawajawahi ona Afrika Mashariki na ukanda mzima wa jangwa la Sahara

Yaani mtesi wangu nahaikisha anaona rangi zote
 
Mawazo na comment zako tu ni za kichawi, au unataka upate certificate ya Uchawi.!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Afadhali wanao ombea vifo, kuliko aliyesababisha vifo kibao na TAL chupuchupu kwa risasi za kumwaga. Kilangila.
Ukiitwa ulete ushahid unao ndugu mbona watz tunakua roho mbaya kiasi hichi kumbuka nae anafamilia inamtegemea
 
Sijamtukana hata kama nmeongea kibaya anisamehe tu
Ameshakuomba msamaha kichuguu
 
mbona waliongea hadharani na wakamwambia kabisa "aafari hii hatutakosea shabaha"...Kingosi na Herry james walitaka kutumia sindano ya Sumu live kwenye TV walikua wanaongea.
Ukiitwa ulete ushahid unao ndugu mbona watz tunakua roho mbaya kiasi hichi kumbuka nae anafamilia inamtegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…