Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Hii post ilishusha kabisa credibility yako.... Huyu mvaa hirizi toka lini akawa mtu wa maombi!!

Kipindi akiwa waziri kuna ibada BCIC alihudhuria na mkewe na mabinti zake wawili. Akadai amekuja baada ya "kulazimishwa" na mke wake akaona aje naye aone anapo sali huko ni wapi!!

Magufuli hakuwahi kuwa mcha Mungu hata siku moja aliitumia tu kupata umaarufu kwa watu ila maisha yake yote ameabudu sana nguvu za giza yule!! Ukweli lazima usemwe
 
Hahahhaa kujuana my foot!! Kumbe hta mtoa mada alikua na taarifa kuliko ww unayejifanya kujuana na mawaziri kisa tu it happened mna share class moja!!
 
Nadhani baada yapo hutakuja kumuamini tena huyo jombaa.

We endelea kujipendekeza ila usituletee hapa hizo habari unazokutana nazo. [emoji1787]
 
Fuatilia saaana ziara za viongoozi weengi mkoa wa IRINGA ua zinakua na utata kidogo, na kuhairishwa ua ni kawaida, uenda ni mambo ya kiusalama zaidi labda.
 
Jiwe alikufa kiajabu ajabu tukitumia lugha za kimtaani mtaani tunaweza kusema Jiwe alikufa kwa kupiga chafya
 
Bado upo mkuu? Rudi kwenye ile post ujue kuwa hatujawahi kufanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…