screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaYawezekana pia ameitwa na Mh Rais Magufuli Ikulu chamwino kwa mazungumzo. Tusubiri kesho unaweza kuta kuna uteuzi.
HahhahahMungu sio wa kuchezea , Jiwe kaishanza kulipia dhambi zake , malipo hapahapa duniani .
Walikua wanasubiri yaliyotokeaWatoe tu taarifa rasmi
Hii post ilishusha kabisa credibility yako.... Huyu mvaa hirizi toka lini akawa mtu wa maombi!!Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Hahahhaa kujuana my foot!! Kumbe hta mtoa mada alikua na taarifa kuliko ww unayejifanya kujuana na mawaziri kisa tu it happened mna share class moja!!Siyo mawaziri tu, kama huna taarifa mimi nimesoma na Magufuli Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilikuwa ninakaa Hall One yeye alikuwa Hall Four. Kwa kuanzia hapo unaweza kujua ni mawaziri wangapi ambao ninaweza kuwa nifahamiana nao. Mimi nimeongea waziri mmoja tu ambaye tunatoka sehemu moja, wala halikuwa swala na kujuana na waziri au kiongozi yoyote kwani ninajuana na wengi sana
Nadhani baada yapo hutakuja kumuamini tena huyo jombaa.Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
Hakika. Na hata ziara ya Makamu wa Rais wa wakati huo - Tanga sijui na wapi kule haikuwa na utulivu pia!Uzi Bora kwa 2021
Maisha ni hadithi tuWewe ni nani unayetaka kujua details? kaa kimya
Hivi hayo yalikuwa ni maneno ya Mzee Mwinyi!Maisha ni hadithi tu
Fuatilia saaana ziara za viongoozi weengi mkoa wa IRINGA ua zinakua na utata kidogo, na kuhairishwa ua ni kawaida, uenda ni mambo ya kiusalama zaidi labda.Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.
Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.
Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.
Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.
Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.
Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
Bado upo mkuu? Rudi kwenye ile post ujue kuwa hatujawahi kufananaKama tumefikia hatua ya kusema haya ni wazi tuko na shida, chuki, ubinafsi,wivu wa kijinga na ukosefu wa adabu wenye usio na utu.
Ugreat thinker ni Hekima ya kusaidia, kuwatakia wengine mema na kuheshima utu hata kama hupendi kufanya hivyo, lakini pia ni busara kukaa kimya/kusema na moyo wako kabla ya kutenda.
OkayWakati ukuta. Soma alama za nyakati